Mwanaume

Mwanaume

Kumbuka Wanaume ni pamoja na BABAAKO MZAZI.
 
safie sana... kuna sura za kupewa hela, ukiona mwanaume kakubania ujue hujamridhisha!!!

zidisha juhudi wenzio kuongwa vits ishakuwa kawaida

Mmh... Hao wahongaji Vitz labda wako tofauti na hawa wa jf ambao hata akikuunganisha Mini Kabang ya 650 anakuja kulalamika humu.
 
Mapenzi ya kweli hayahitaji conditions, yanamea popote pale, whether one has money or not, handsome or not, an expert in love making or not, you have to adjust your way of thinking on this mater

Unconditional Love.

R.I.P 2Pac
 
Mmh... Hao wahongaji Vitz labda wako tofauti na hawa wa jf ambao hata akikuunganisha Mini Kabang ya 650 anakuja kulalamika humu.

Atakuwa amekuona wewe ni wa size ya Mini Kabang tu.
 
show huezi, haya basi toa hela napo mbahili, bora basi ungekua handsome napo hamna kitu.. Khe!! Usaidiwaje sasa😕

hahaha msimu wa sikukuu huu lol

atleast hela ikiwepo utavumilia vumilia kupunguza njaa

vianaume vingne ni shida tupu,yaan vimekariri maisha utadhani darasa la pili na table

ukweli unauma angalia mipasho hiyo unayopewa utafikiri umemtaja mtu,..:d:d

panua paja mkwaju waja
 
....teh teh teh..ukiwa malaya uwe na akili japo kidogo!...wenzio wanaoweza show hawana msamiati wa 'mwanaume bahili'
....we demu papa linanuka kama ng'onda.,USAIDIWAJE!

Hahahaha duu nini linanuka?
 
Show huezi, haya basi toa hela napo mbahili, bora basi ungekua handsome napo hamna kitu.. khe!! Usaidiwaje sasa😕

Kwani umemsaidia nini..?? Au umemkopesha nini..?? Au wakati unamsaidia hicho ulichomsaidia huo uhendisamu ulikuwepo..??
 
Show huezi, haya basi toa hela napo mbahili, bora basi ungekua handsome napo hamna kitu.. khe!! Usaidiwaje sasa😕

Pole sana.

Inaelekea umepigwa p bure, alaf show mbovu.. alafu na jamaa sio handsome.

Tafuta wengine, wanajiweza..
Ikiwezekana ni PM,mimi
 
Back
Top Bottom