Kukosa Haya!!!

Ze Best Mama

Member
Dec 21, 2015
12
0
Hi Wakuu!! Kuna Kisa Kimemtokea rafiki yangu anaomba ushauri wenu wadau,ni mdada mzuri 2 lakini mapenzi yanamtesa kutokana na hulka aliyonayo hana makuu Bestito huyu ila kuna mkaka ametokea kumpenda huyu Best yeye anadai hampendi sababu ni ubabe wake,lakini huyu Best ana mahusiano na wa2 watatu wote wanampenda na wapo tayari kumuoa yeye anampenda mbabe wake,ushauri wako tafadhali. NAWASILISHA WAKUU
 
Hana makuu!!!!!!????

Kuwa na mahusiano na watu watatu ni kitu cha kawaida!!!!? Au makuu yapi unayazungumzia hapa?
 
Sasa kama anampenda mbabe wake jaman napo apewe ushauri....hvi msamiati fuata moyo huwa mnauacha wapi

Alafu wanaume watatu wote anawamiliki yeye na kuna uhaba wa me kwanini anakua selfish hivo....tabia si Nzuri
 
Uandishi ni kazi ngumu sio rahisi kama unavyofikiri, akikwambie mtu.

Kichwa cha habari hakieleweki, hiyo habari ndo kabisaaa
 
Duuuhh, kweli tumeubwa wengi.

Huyo Best yako nini ni "password" ktk mapenzi. Kuna watu hupenda mwenye pesa, kuna watu hupenda wasomi, kuna watu hupenda "handsome", na kadharika.

Kama yeye "password" ya mapenzi yake ni mtu mkorofi basi na amng'ang'anie.
 
Watu wa 3 at once????? Mmmmmmmm!! Kweli ukimwi uko likizo maana hao wa 3 wana wengine 3. 3x3= 9
 
Back
Top Bottom