Recent content by zazana

  1. Z

    Kenya hawana madini, lakini milioni 2.1 ni sawa na milioni 43 ya Tanzania tujadili hii ikoje

    Viongozi wetu hawatimizi wajibu wao, kazi kukimbizana na wapinzani. Visasi na chuki vimewajaa. I hate so much
  2. Z

    Matumizi GMO Kwa hapa Tanzania

    Effect mojawapo ya GMO ni kupoteza the wild type of the organism, iwe mmea au mnyama. Nakumbuka zamani kijijini kulikuwa na mbegu za mahindi ambayo ilikuwa yanalimwa na wakati wa mavuno tulikuwa tunachagua mahindi mazuri yanawekwa kwaajili ya mbegu za msimu unaofuata. Ila kwa mahindi ya kisasa...
  3. Z

    CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

    Naamini ipo siku kiu yetu itapata kitulizo. If you think critically for us to get sustainable changes leading to development of our country ni lazima zije fikra za tofauti. Ukitizama uchumi wetu viongozi wa nchi hawawaelezi wananchi na kuwaandaa. Hatujielewi ni wajamaa au capitalism. Kimya tu...
  4. Z

    CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

    Niseme tu ukweli napenda sana siasa za upinzani hasa baada ya kuona madhaifu mengi yaliyojitokeza katika tawala za CCM. Kuna mambo wanayafanya mpaka mtu unapata hasira, wamekuwa wakijiona ni miungu watu huku wakifanya mambo very unfair kwa wananchi na wapinzani. Sijawahi kuwa na kadi ya chama...
  5. Z

    Dawa ya kutibu minyoo iliyopo tayari kwenye mzunguko wa damu

    Naomba kukusaidia kama ifuatavyo: kipimo cha damu, yaani full blood picture hakitakuambia una minyoo na ni aina gani ya minyoo. Kinachofanyika ni kwamba kitakuonesha aina ya cells zinaitwa Eosinophils. Kwahyo hizo cells zikiwa nyingi (hali hyo inaitwa Eosinophilia) huwa inatoa clue ya worm...
  6. Z

    Uuzwaji wa bia zilizopita muda wa matumizi, TFDA mko wapi?

    Zinapewa na wauzaji wa mitaani kwa akili zao wenyewe, which is technically wrong anyway.
  7. Z

    Uuzwaji wa bia zilizopita muda wa matumizi, TFDA mko wapi?

    Sure aisee! Ningelipwa kama hela wanayodai akina AY na FA
  8. Z

    Uuzwaji wa bia zilizopita muda wa matumizi, TFDA mko wapi?

    Ndugu wanajamvi habari za mihangaiko ya siku! Hivi karibuni nilikuwa maeneo fulani nje kidogo ya jiji la Dar nikipumzika kumalizia weekend yangu. Nilishangazwa sana nilipoagiza kinywaji (bia) na kushtuka nikiwa nimeletewa bia ya tatu ambayo ilikuwa na abonormal taste and odour. Nikatizama...
  9. Z

    Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

    Achana na option ya kutoa mimba brother. Fanya tu utaratibu wa kuweka mambo yawe formal
  10. Z

    Damu tunachangia bure, kwanini wagonjwa wauziwe?

    Sera ya serikali ni kuwa huduma ya damu ni bure kwa wahitaji. Serikali inagharamia shughuli ya ukusanyaji kutoka kwa watu wanaochangia, kuisafirisha, kuifanyia vipimo vya magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya damu na kupima kundi la damu. Shughuli zote hizi ni gharama na serikali inagharimia...
  11. Z

    Nashindwa kuifichua siri hii

    Kaka nimewahi ku-experience hiyo hali. Ninachoweza kushauri ni kujiepusha sana na kujaribu kurekebisha hiyo kitu itakuwa na madhara makubwa, maana mambo ya mahusiano yana changamoto sana na hawatakuelewa. All you can do ni kuweka umbali wa kutosha na hao ndugu. nature itafanya kazi
  12. Z

    Kuhusu blood transfusion

    Ndiyo ila angalizo: Hiyo blood group kama ni whole blood iwe imepimwa high titre antibodies (anti A & anti B) vinginevyo inaweza kusababisha serious transfusion reactions ikiwa itakuwa na high titre anti A katika plasma. Kama ni packed red cells bas si lazima ziwe zimepimwa high titre...
  13. Z

    Chloramphenical eye drop inaweza kuua mtoto?

    Moreover chloramohenical imekuwa documented kuwa na serious side effect hasa kwa kusababisha aplastic anaemia. Hivyo haishauriwi kutumika
Back
Top Bottom