Ndugu wanajamvi habari za mihangaiko ya siku!
Hivi karibuni nilikuwa maeneo fulani nje kidogo ya jiji la Dar nikipumzika kumalizia weekend yangu. Nilishangazwa sana nilipoagiza kinywaji (bia) na kushtuka nikiwa nimeletewa bia ya tatu ambayo ilikuwa na abonormal taste and odour.
Nikatizama expiry date na nikaona imeexpire January 2016. Nilimuita mhudumu na kuuliza kuhusu kuniletea bia iliyokwishwa muda wa matumizi, akaonesha kutokuwa aware. Akaenda kucheck bia zake akagundua mzigo wote wa tusker lager ulikuwa expired. Alimpigia supplier wake ambaye alionekana kuwa alijua kuwa ni kweli alisupply mzigo ulioexpire kwa kisingizio kwamba usually bia zinapewa extra 6 months kutoka ile tarehe ilioandikwa na manufacturer kwenye chupa.
Binafsi nimesikitishwa na jambo hili. Niombe mamlaka husika-TFDA ichukue hatua na mimi nitakwenda kutoa taarifa officially ili watu hawa wachukuliwe hatua maana huu ni uuaji.
Ni wangapi kati yetu huwa tunaangalia expiry dates za bia au vinywaji tunavyohudumiwa? Bila shaka ni wachache.
Naomba kuwasilisha na tuwe makini na jambo hili.