Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

Wakati unamtengeneza huyo mtoto tumboni hukuona aibu ? huyo ni kama mdogo wako kabisa
 
Ulipokuwa unakatiza katikati ya miguu yake hukuwaza aibu mbele yako?
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie kwa hili.

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu.

Naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? Kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa.

Wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.

Tangaza ndoa na anza mchakato wa kuoa fastfast!panga tarehe haraka ya karibu,tafuta ukumbi nicheki 0754348782 unipe kazi ya umc nifanye mambo mazuri YALIYOTUKUKA!nicheki facebook@mctillychizenga
 
We mjinga kweli,wenzio wanalia na nguvu za kiume we unatia mimba mtu unalialia unaona aibu unaakili wewe?kamuoe haraka kenge wewe
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie kwa hili.

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu.

Naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? Kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa.

Wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.
km c mwanafunzi fanya mipango ya ndoa fasta uoe then status yako kitaa itapanda badala ya kushuka
 
yaani umeniudhi sana, unatuhangaisha kwa raha zako, ukome kuchezea binti za wenzako na huyo muoe
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie kwa hili.

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu.

Naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? Kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa.

Wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.

M

MUOE FASTA NDIO JIBU NA UTAHESHIMIKA
 
Achana na option ya kutoa mimba brother. Fanya tu utaratibu wa kuweka mambo yawe formal
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie kwa hili.

Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu kipenzi, namuambia aitoe hataki. sio kama sina uwezo wa kumuhudumia ila naogopa jinsi watu watakavyonichukulia kutokana na status yangu.

Naona aibu sana jamii inayonizunguuka ikija kufahamu hii habari. naombei mnisaidie wakuu nifanye nini kuondokana na aibu iliyo mbele yangu? Kuhusu kumpeda nampenda sana binti na nina mpago aje awe mama wa watoto wangu lakini sio kwa kuzaa nje ya ndoa.

Wakuu ebu nisaidieni katika hili, nimshauri vipi huyu mtoto akubaliane nami maana anakataa hataki kusikia kabisa habari hizo.
Rafiki yako atafurahi sana kama utajitambulisha na eventually kumuoa dada yake. Usijaribu kumshawishi kutoa mimba. Mtoto wa watu hataki kutoa mimba na je akitoa na ikawa ndiyo mwisho wa yeye kupata mimba na let say umemuoa na mna taka mtoto in the future itakuwaje? Mungu akusaidie ufanya maamuzi yanayompendeza Mungu kuliko kupendeza wanadamu. Do the right thing brother.
 
Naomb namm niongezee nyama hapo hapo! Je akienda toa then ikawa ni sababu ya mwisho wa pumz zake, kwasababu kutoa mimb ni dhamb kubw na ina matokeo tofaut, you never know! Uoni kam mtoto wa watu akidanji itakua laana kwako???

Chukua Jiko hilo kaka, bint anajielew huyo ndo maana amekata katu ujinga wako wa kutoa mimba, anakupenda! na kwa kua naww unampenda na umekir una uwezo muoe, halaf kuhusu aibu unayoizungumzia, sio kwel aibu gan hiyo?? Hakuna aibu wakat huu.

Muoe, tubu, aman na upendo vitatawala maishani mwenu....kama una akili ymeelewa!
 
Mbona huna ustaarabu ndugu yetu yaani mdogo wa rafiki yako umekula weee ukaamua uweke na mimba kabisa??halafu unajifanya unampenda na ulitaka awe mkeo.?Sasa rafiki yako atakuelewaje hapo??Jiandae kwa aibu na hiyo status yako ipoje?au ni kiongozi wa jumuiya za kigango chenu huko?daah hii ni aibu.Cha kufanya tuma mshenga ulipe mahari uharakishe ndoa kama kweli una nia hyo basi muoe haraka kabla hajazaa itapunguza zogo.
 
Kunywa sumu ufe ,watakusema wiki moja watakusahau maana utakuwa umezikwa na umeoza
 
Kwan uwez mpenda dada wa rafk yako na ukamuoa acha mapenz yashike mkondo ila kikubwa mtel uyo jamaa
 
Nenda kajitambulishe, huwezi jua labda kwao wana historia ya wanawake kuwa na yai moja so anaogopa kurisk.
Kama unampenda kweli kama unavyodai hapa.., nenda tu kajitambulishe wala usimuogope rafiki yako, ogopa kutaka kushawishi uuaji.
 
Back
Top Bottom