Jamani ugumu unaletwa na kumbukumbu za kukanganya watu! "Fisadi,fisadi,fisadi. Halafu inafika mahali kwamba siyo fisadi. Hakuna maelezo yoyote yamcngi kabisa yaliyotolewa kwa raia hadi leo kujenga hoja yakuridhisha kuwa Billgate wetu siyo fisadi kwa maana 1,2,3. Na yeye akasimama kutoa vielelezo 1,2,3 raia wakaelewa somo.
Kauli ya Katibu mkuu aliyejiudhuru nayo hamjaijengea mada nzuri kukanusha aliyoyasema. Sasahiv dunia ni kijiji ku-maintain propaganda yatakiwa ujuzi wa ziada,sbb habari na taarifa mbalimbali zipo wazi kwa kumbukumbu. Hivi haiwezekani kabisa safu ya uongozi wa juu iliyopo ikaachia ngazi ili kujenga demokrasia, kukiimarisha na kujijenga upya chama?