Recent content by Zaydkhan

  1. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF punguzeni ubabaishaji

    Unakaa kwa muda gan Wana confirm?
  2. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF punguzeni ubabaishaji

    Yani hii ndo changamoto. Nasikia imeanza mwaka huu Kitu kama February. Kwa waliofungua kabla ya hapo February milolongo ndo kama hiyo.
  3. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF punguzeni ubabaishaji

    Kuna jamaa yangu kanipa mkasa wake kilichomkuta Nssf alipoenda kufuatilia mafao yake. Nimeona niilete humu; Jamaa anasema miezi kadhaa huko nyuma alienda Nssf kwenda kufuatilia madai yake. Wakampa utaratibu wa kujaza. Wakamwabia aende stationary watamsaidia kufungua. Jamaa akaenda stationary...
  4. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mbinu zitakazosaidia kutengeneza na kukuza uzalendo kwa watanzania

    UTANGULIZI Salaam na Amani ziwe nanyi, Karibuni katika mnakasha huu utakaojikita katika mbinu za namna ya kuutengeneza na kukuza uzalendo, Imani yangu mnakasha huu utaleta fikra chanya za kuujenga uzalendo. Tenga muda wako kuungana na mimi katika huu mnakasha, naamini utajifunza mengi kuhusu...
  5. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania TISS, take a note: WHO imeonya kuwa hakuna ushahidi watu waliougua korona kutoambukizwa tena

    Soma Tena vizuri uelewe alichokimanisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania Natafuta jinsi ya kuaply jeshi

    Nafas bado hazijatoka ila hio ni mipango ya mwaka ujao ya wizara ya mambo ya ndani.
  7. Zaydkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bakhresa angeanza biashara nyakati hizi za Mariam biriani asingetoboa

    Muda mchache mambo ni mengi tu tutaona mengi sana.
  8. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania Wajue wanawake watatu magaidi ndani ya Marekani

    Iv unajua tofauti kati ya kutukana na kukosoa?. Unaonekana ni mshabiki wa Marekani.
  9. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandika cover letter

    Hahahahah wasomi wetu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania Hali bado ni tete kwa Wakulima wa Korosho

    Wanapogombana mafahari wawili zinazoumia ni nyasi we endelea kuvumilia. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Zaydkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna gani bora ya kumzuga mwanamke asije nyumbani kwako?

    Google is our best friend Sio mbaya ukiingia google kusearch kuliko kuanzisha thread kama iz.
  12. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Director wa hi cinema kashindwa kuimalizia Wamemtupia town ni bora hata wangemtupia pembezoni mwa mji uko inaonesha walimficha karibu na maeneo hayo
  13. Zaydkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unamtaka mwenye gari na nyumba nzuri, utasubiri sana.. Pole dada

    Kwa iz comments kweli ukweli unauma sana.
  14. Zaydkhan

    JamiiForums Tanzania Arumeru: DC Muro awalazimisha walimu wote kushiriki katika mkesha wa mbio za mwenge

    Inatia huruma sana hii inatokana na walimu hawana mwajiri maalum hawajui nan ni boss wao wa kumfuata.
  15. Zaydkhan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KUJUA NAMBA ALIZOBLOCK MKEO

    Endelea kuchokonoa utakipata unachokitaka
Back
Top Bottom