Natafuta jinsi ya kuaply jeshi

Natafuta jinsi ya kuaply jeshi

Michael kaniki

New Member
Joined
Apr 27, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Natafuta jinsigani ya kujiunga na jeshi ili niweze kuapply nafasi za jeshi zilizotangazwa juzi
naombeni muelekeo
 
Siku hzi hzo nafasi ni ngumu kupata labda za mafunzo ya mgambo ambazo zimetangazwa last week
 
Hzo nafasi zimetangazwa wapi wakuu, tunaomba taarifa na sisi,
 
Nafas bado hazijatoka ila hio ni mipango ya mwaka ujao ya wizara ya mambo ya ndani.
 
Back
Top Bottom