Msaada wa kuandika cover letter

Msaada wa kuandika cover letter

kabilili

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
50
Reaction score
4
Jamani wana JF naomba msaada kwa yeyote mwenye sample ya cover letter anisaidie au anipostie niione maana kwenye google sizielewi kabisa
 
IMG_20190318_164043.jpg
 
Nilikuwa nasikia tu kuwa kuna wasomi wanamaliza shule tena elimu ya secondary au chuo kikuu ila hawana jeuri ya kuandika barua ya kuombea kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom