BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,243
Angekuwa Omari angekuwa timamu ,ila kwa vile ni Alexandria ni mgonjwa wa akili ahahahaahaahaahahahaa
Yani nimecheka sana kamanda wangu 😂😂😂😂
Angekuwa Omari angekuwa timamu ,ila kwa vile ni Alexandria ni mgonjwa wa akili ahahahaahaahaahahahaa
Unachunguza tabasamu la wanawake ni hatariHuyu mbona anaonekana tu ni psychopath.
Tabasamu gani hilo sasa?To hell with Tibetan terrorist!
To hell with Palestinian terrorist! To hell with al-shabaab terrorist as well!
Wamehamia nchi yako ...Alafu walipe fadhila kwa kipiKinachokera ni wahamiaji kukosa fadhila
Ilhan Omar
Huyu wazazi wake waliomba ukimbizi Marekani kutokana na vita ya ugaidi huko Somalia. Mama yake mzazi alidanganya uhamiaji kuwa anaandamwa na magaidi baada ya kubadili dini na kuwa mkirsto kumbe ilikuwa ni janja ya kuingia Marekani
Huyo Ilihan alifika Marekani akiwa na miaka minne amesoma kupitia kodi za wamarekani, ila alipoingia bungeni anaitukana Serikali ya Marekani na kuidharau amesahau huko Somalia ndugu zake wanakufa njaa, amesahau wema wote.
Elite wa USA wanamuangalia hajui kesho yake, waliompigia kura wanajuta, amewatukana waisrael amesahau Israel ndio imeisimamisha Marekani. Ametengeneza maadui kwa wazawa kila kukicha anatishiwa kufa na wazalendo
Rashida Tlaib
Huyu naye ni mpalestina kule wanapotoka magaidi wa dunia.
Familia yake ilihamia Michigani miaka kadhaa iliyopita naye alianza kwa fujo miaka ya 2008 kupitia Democratic ila alisoma alama za nyakati baada ya kuonjaa shuruba za elite mara kwa mara
Huyu anaipenda Palestina kuliko Marekani inayomlipa mshahara maajabu haya
Unajiuliza kama anaipenda Palestina mbona wakiwa deported wanazimiaga airport
Ocarcio Alexandria
Huyu anatoka New York asili yake ni Tibeti kisiwa pendwa na Marekani
Ila anaitukana Serikali ya Marekani
Bahati mbaya wamegundua huyu dada ni mgonjwa wa akili.
Wapiga kura wanajuta wengi wanajiuliza akijipenyezaje yadi akagombea wazalendo wamarekani wanadai sera za uhamiaji zibadilishwe ili kuepuka magaidi ndani ya Marekani
Kweli kuna watu hawana shukrani duniani
Ipo siku watatamani siku zirudi nyuma