Tanzania ilivotuma jeshi kwenda kuikomboa Seychelles, na mpaka Seychelles iko jinsi ilivyo kwa sababu yale mapinduzi yalizimwa na jeshi letu, pia ni wrong policy?
Hapa ndio CCM wanapopotezana na wananchi. Wanatafuta point kwa lolote baya linalotokea sasa hivi kuwa ni kosa la history, kama vile...