Recent content by zamadondo

  1. zamadondo

    JamiiForums Tanzania Makato NMB mkononi to Lipa namba

    sema mitano tena kwa mwigulu
  2. zamadondo

    JamiiForums Tanzania Walimu 13 wafukuzwa kazi Bagamoyo sababu ya utoro

    Fikra zako zimeishia hapo? Basi tufanye walimu ndo wana good life TZ
  3. zamadondo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    over 0.5=zaidi ya goli moja 1.5 zaidi ya 2 3.5 zaid ya 4 under unapindua, kinyume chake tu
  4. zamadondo

    JamiiForums Tanzania Walimu 13 wafukuzwa kazi Bagamoyo sababu ya utoro

    Serikali haimtambui mwalimu mpaka atakapomtia mimba mwanafunzi
  5. zamadondo

    JamiiForums Tanzania Wadada mnaotaka kuolewa. Chondechonde msiolewe na wanaume wanaoshabikia mpira. 98% hufa masikini kabisa

    Unakuta mtu ana U.T.I anaongea utumbo mtupu
  6. zamadondo

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo nautafuta sana, upo kama hivi.... "sijali (hata kama ukinuna) sijali (uwe mkali kama duma) sijali (Kama kupenda kosa mi nihukumiwe) Sijali....." Kaimba nani au audio napataje?
  7. zamadondo

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma mke wangu akisagana na house girl

    hivi kusingekuwa na social networks ungeomba ushauri wapi?au ungefanya nin!?
  8. zamadondo

    JamiiForums Tanzania Makahaba walipwe kujiepusha na biashara ya ngono Tanzania?

    tunabana matumizi tuwalipe nin
  9. zamadondo

    JamiiForums Tanzania Utafiti umeonyesha kwamba kumbe.......

    duh
  10. zamadondo

    JamiiForums Tanzania Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

    nmekmbka post moja MMU,kwamb wanawake wengi wenye makalio makubwa wazur kuangalia tu
Back
Top Bottom