Asee Wameanza lini? Mbona hua ni free.Kweli wakuu imeangaliwa bank statement kuna kitu wanaita VAT payable on masterpass wanalamba vibaya mno
Sasa hivi lipa namba inaanza kukosa maana. Nililipa kutoka voda kwenda nmb lipa, ni heri kutoa kwa 🏧 tu. Makato makubwa sana.
Je, umejiunga na huduma ya spend to save? Maana kama umejiunga (pengine bila kuelewa vizuri inavyofanya kazi), kwa kila muamala unaofanya kuna fedha inakatwa kuendana na % ulizoweka wewe. Fedha hizo unawekewa kwenye kibubu chakoWakuu hii Makato NMB mkononi to Lipa namba ya Voda yameanzia kwangu tu au ni kwa kila mtu.Juzi nimefanya muamala wa wa laki na 50 wamenikata almost 5,000 wakati kabla ya hapo nikilipa NMB kwenda lipa namba ya voda hua ni free.Leo nimelipa tena 10,000 wamenikata 1,000 hii imekuwaje wakuu naombeni muongozo please🙏😁.
Sasa kwa nini wakaweka lipa namba za nmb na crdb kama hakuna uwezekano wa ku-merge mobile money na banks kwa malipo madogo?Lipa namba ni tamu sana ukiishia kwenye mobile money tu. Ukiingiza banks tu kwenye lipa namba unaumia
Sasa kwa nini wakaweka lipa namba za nmb na crdb kama hakuna uwezekano wa ku-merge mobile money na banks kwa malipo madogo?
Inasikitisha sana ,makato hayapo realistic ,unamtumia mtu eflu 2 via simbanking wanakukata elfu 2.Wakuu hii Makato NMB mkononi to Lipa namba ya Voda yameanzia kwangu tu au ni kwa kila mtu.Juzi nimefanya muamala wa wa laki na 50 wamenikata almost 5,000 wakati kabla ya hapo nikilipa NMB kwenda lipa namba ya voda hua ni free.Leo nimelipa tena 10,000 wamenikata 1,000 hii imekuwaje wakuu naombeni muongozo please🙏😁.
unajitoaje mkuu? maana nahisi wametuingiza bila ridhaaJe, umejiunga na huduma ya spend to save? Maana kama umejiunga (pengine bila kuelewa vizuri inavyofanya kazi), kwa kila muamala unaofanya kuna fedha inakatwa kuendana na % ulizoweka wewe. Fedha hizo unawekewa kwenye kibubu chako
Asa hio si hela yako ndugu spend yo save hakuungi mtu ila wewe ndo unajiungaunajitoaje mkuu? maana nahisi wametuingiza bila ridhaa
soma tena ulichokinukuuAsa hio si hela yako ndugu spend yo save hakuungi mtu ila wewe ndo unajiunga
Ndio hio huduma ya spend to save ipo nmb tena kwa nmb mkononi ambae anaweza kuiunga na kujiondoa ni wewe unaetumia nmb mkononi ila bank hawawezi kukuunga pasipo wewe kujua na uzuri wa hio spend to save zile ni pesa zako zinakatwa kulingana na kiasi cha asilimia ulichoweka kwenye spend to save kwa kila muamala na hata ukitaka kujitoa pesa zako zote ulizokatwa kutokana na spend to save zinarejeshwa kwenye acc yakosoma tena ulichokinukuu