Kwa mfano,Samahani lkn;Sevilla ya kutoka HISPANIA ikifungwa na Simba Sc ya kutoka TANZANIA,Wewe Utaumiaje?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ulitakiwa Uachane haraka sana na huyo Mwanamke maana hajitambui na kama utaendeleza Mahusiano naye IPO siku utaumbuka na utajilaumu zaidi ya sana maana naona akili za huyo mwanamke na za kwako zinakaribia kuendana!
Hahahaha kwa hiyo unahamasisha Maandamano? Andamana ukione chamtemakuni.Uhuru na haki unayoitaka pasipo kuwa na Nidhamu utasubiri sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota mkuu,ila nakuomba usiote Unatoa kero yako mbele ya Mkulu maana unaweza sema Una degree ya Education Engineering ya Siasa yenye GPA ya 50.Hahahahaha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Chdm kwl ni kundi la wahuni,mbn mnasahau mlivyokuwa mnashabikia ya Kenyatta-Kenya.? Nyie si ndio mlikuwa mnasema Uchaguzi Kenya ni wa huru na haki.? Mbn yaliyotokea Kenya na Tanzania unaweza sema yanafanana? Ebu badilikeni bhn,Chdm Mnazingua!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.