Supplier anaitwa S.Scientific Centre..
JW anatoa storage na namna ya kuvikisha mashulen tu...
S.S.C anavifikisha katika vituo teule vya jesh tayar kupekwa ktka shule husika...kwa kanda ya pwan centre ni lugalo ulipofanyika uzinduzi jana..
Note: JW at this point is not a supplier ..
wakuu mm kwa akili yangu ndogo nimemuelewa mtoa mada kwa namna tofaut..
1. kwa upande mmoja nakubaliana nanyi kuwa akili ni uwezo wa kutizama mambo kwa upana wake na kufanya reasonable decisions..
2. Suala la mwanamke mwenye akili hapa tunazungumzia, "UWEZO WAKE KATIKA MAISHA KWA UPANA WAKE...
Habari wana jukwaa wenzangu,
Nimepata fund kutoka kwa ndugu yangu wa karibu na amenitaka nipresent viable business idea and its plan as well.
Nimejaribu kujiongeza kwa kujifunza hali ya kiuchumi na kisiasa tuliyonayo kwa sasa hapa nchini nikajikuta napoteza idea zote.
Tafadhali naombeni...
Ukiona watu wanafanya mambo ya kusadikika ujue uwezo wao nao ni wa kusadikika na wanatoka taifa la kusadikika as well...
Hahhaaaa.. Lafing but deeply crying
Mh...! Hii ni ishara ya kuwapo kwa janga la njaa katika mataifa mbali mbali
Kwa serikali makini ningetemea kuona mikakati ya makusudi ikianza mara moja ili kupunguza matokeo ya janga hili...
KUMEKUWA NA UMILIKI WA KUWEKWA KWENYE HAYA MAKAMPUNI, Ya kwamba kabuni ni mali mali ya bwana X lakini Memorandum of association na ducument zote zinasema wamiliki waarabu..
hapa ndipo msingi mkubwa wa kwanini makampuni yanafanya madudu ya ajabu lakini tunaendelea kuona yakifubmiwa macho tuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.