Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Jeshi la Wananchi wa Tanzania,JWTZ limepewa kazi ya kusambaza vifaa vya maabara vyenye thamani ya Tsh 16.9bn katika Shule za Sekondari 1,696 nchini kote.
Leo akiongea na waandishi wa habari amesema tenda hiyo imetolewa na serikali kwenda kwa jeshi la wananchi wa tanzania na mapema kazi hiyo itaanza vijijini na sehemu zote za mjini
Lengo la serikali ya awamu ya tano ni kutoa elimu bure na vifaa vyote vya maabara ili watoto wapende masomo ya sayansi kwa wingi na kuondoa tatizo la uhaba wa vifaa.
Pia amewaonya wale wanaopotosha watu kwamba wanauwezo wa kuwapatia ajira kwenda Jwtz au JKT na kwamba hamna kitu kama hcho kwa nafasu zote Tanapa, polisi n.k
Jwtz sasa wamepewa Tenda ya kusambaza vifaa za Maabara katika shule zote za serikali na vifaa hivyo vina thamani ya billion 16.9