Naweza fanya biashara gani kwa mtaji wa 15m?

yyy

Member
Jul 11, 2015
10
5
Habari wana jukwaa wenzangu,

Nimepata fund kutoka kwa ndugu yangu wa karibu na amenitaka nipresent viable business idea and its plan as well.

Nimejaribu kujiongeza kwa kujifunza hali ya kiuchumi na kisiasa tuliyonayo kwa sasa hapa nchini nikajikuta napoteza idea zote.

Tafadhali naombeni mwongozo wenu.

...Nawasilisha...
 
tafuta business opotunities mbalimbali ambazo hubadilika kutokana na eneo moja( mazingira na jaribu kufanya feasibility study ya oppotunities zote kisha chagua moja ambayo utaiona ni most profitable)
mbona mahitaji ya kibiashara ni mengi katika tza jaribu katika eneo lako either ufanye long term investment ya biashara au short term
 
  • Thanks
Reactions: yyy
Habari wana jukwaa wenzangu...
Nimepata fund kutoka kwa ndugu yangu wa karibu na amenitaka nipresent viable business idea and its plan as well ..
Nimejaribu kujiongeza kwa kujifunza hali ya kiuchumi na kisiasa tuliyonayo kwa sasa hapa nchini nikajikuta napoteza idea zote..
Tafadhali naombeni mwongozo wenu
...... Nawasilisha ......
Anzisha Karakana ya teknolojia. Uwe unaunda vitu kama water pump, jiko la kupikia, na mashine mbalimbali...
 
Hiyo pesa invest kwenye biashara ya vyakula. Hutojutia na wala hutopoteza.. Tena hiyo ni nyingi mnooo. Tafuta sehemu potential then uwekeze huko.
 
Hivi inakuaje mawazo ya biashara mtu anamwambia muomba ushauli amchek PM?weka hapa kwa faida ya waTanzania wenzako pia,unaposema njoo PM tukikuita wewe ni tapeli tutakua tunasema ulongo?
Mkuu we ita tapeli, jambazi, vyovyote ruksa. Lakini siku ukijua ulipoteza nafasi utanielewa
 
Mkuu we ita tapeli, jambazi, vyovyote ruksa. Lakini siku ukijua ulipoteza nafasi utanielewa
Nani kapoteza nafasi?kweni unanijua nini nafanya mpaka useme nipoteze nafasi kwako wewe?tunajuana?yamkini wewe ndo ukawa unapoteza nafasi
 
Back
Top Bottom