Nin Tafsi Ya Mvua Kutonyesha ktk Msimu Huu wa Sikukuu

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Wajuz wa Mambo Naomben mnijuze

Nin Mana ya mvua kutonyesha ktk msimu huu wa sikukuu

Mana nshazoe Ktk mwez huu Mvua huwa zinanyesha sana bt Naona tofaut kwa mwaka Huu Empty
 
Si mara ya kwanza. Hali kama hii hutokea katika kila utawala. 1991, 1996, 2001, 2006 fuatilia
 
Si mara ya kwanza. Hali kama hii hutokea katika kila utawala. 1991, 1996, 2001, 2006 fuatilia
Mh...! Hii ni ishara ya kuwapo kwa janga la njaa katika mataifa mbali mbali
Kwa serikali makini ningetemea kuona mikakati ya makusudi ikianza mara moja ili kupunguza matokeo ya janga hili...
 
Tafsiri yake ni kwamba tumemwacha Mungu nae katususa.Kila siku humu watu wanasema hakuna Mungu,sasa kama hayupo walete mvua wenyewe sasa.
 
Back
Top Bottom