Nitafute nikueleze dawa yake hakika wanawake atawala kwa macho maisha yake yote .puuzi sana huyo mtu.ila uwe na uhakika kuwa anatembea nae kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mpenzi wako akalalamike kuchafuliwa na huyo jamaa ama serikali ya mtaa ama ofusini.Kama ni kweli hawezi kufanya hivyo kama si kweli atafanya hivyo.Lakini hata wewe kwa kuwa tayari ishakuchoma ,itakuuma sana na utakosa amani ktk ndoa yenu juu ya huyo bint.Tayari una dukuduku moyoni japo kuwa...
Ipi sifa zake?ainisha sifa zale hasa kona ya gjafla tukio la ghafla ubora wa breki hasa za ghafla stamina ya mwendo barabarani hasa kwenye rat roads uwezo wa mwanga wa taa uwezo wa kuinuka uturivu wa ndani hasa kwenye korogetion nk.ebu ainisha hayo
Walikuja Africa kwa jina la wamisional kumbe wapelelezi wakafuta mila zetu wakatuletea zao na kuziita zetu za kishenzi wakatuachia dini na kuifanya ndiyo mila sahihi sasa wanakuja na ushenzi zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.