Nachukia sana kutongozwa hovyo hovyo

Nachukia sana kutongozwa hovyo hovyo

Mkitongozwa mnalalama na msipotongozwa mnalalama! Sijui nyie kina dada ni kipi hasa mnataka.

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
Jibu hoja kwa hoja acha mipasho kama mvaa sketi
 
so ww unapenda kugawa tu bila kutongozwa hongera sana
 
Ukiona wewe ni mke wa mtu na unatongozwa tongozwa basi jua kuna mushkeli katika mavazi unayovaa au jinsi we mwenyewe unavyojiweka weka. Ukiwa umeolewa alafu ukakaa kichangudoa changudoa kutwa kucha kupiga mizinga waume za watu, lazima utongozwe tu! So kutongozwa au kutokutongozwa ni maamuzi yako...



na je mfano hupig pigi mizinga na huvai kichangu je?hahaha yaan ww wasiwasi wako upo kwenye kupigwa kizinga teh teh! hv hujui kuna wanaume wanaopigqa vizinga daily kwa wanawake! mbn unataka muaminishe uma kuwa wanawake wanapiga sana viznga?
 
na je mfano hupig pigi mizinga na huvai kichangu je?hahaha yaan ww wasiwasi wako upo kwenye kupigwa kizinga teh teh! hv hujui kuna wanaume wanaopigqa vizinga daily kwa wanawake! mbn unataka muaminishe uma kuwa wanawake wanapiga sana viznga?
Namshukuru Mungu najiweza
 
Mwanamke kutongozwa

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume hufuata nini kwa mwanamke?

Unakuta mtu ana mke lkn haishi kutongoza kila mwanamke anayemuona.

Bila shaka wanaume wenye tabia za kutongoza kila mwanamke huwa wanaendeshwa na mapepo ya ngono.

Mnashangaza sana.
Una zigo la kuvunja chaga namimi nikutongoze.........🙂🙂🙂
 
Unatakiwa kuandika kitabu cha kurasa ngapi kumuelezea mwanamke?
Je unafikiri utakua umeandika kila kitu khs yeye? Jibu ni hapana.
Wanawake hawajawahi kueleweka hata siku moja. Unaweza kumuelewa mwanamke wako kwa namna fulani lkn hauwezi sema unawaelewa wanawake.
Mnataka nini haswa?
 
Maji ya mvua hayaulizi pa kupita.Mdomo ama lips za mwanamke hazifanani kila mtu na lipsi zake

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi yafanyike kwa utaratibu na si kwa kila mtu
Ndo mana unaruksa ya kukataa au kukubali.. any way naomba nikuapproach basi
Najua kutongozwa raha Sana

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Penzi.


Hakuna mwanaume anayetongoza kila mwanamke. Kwanza Haiwezekani.


Hao wanaume hawapo hivyo hii ni fallacy.
Fallacy of generation.

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
sio kweli mkuu!mie nipo hapa kujua ni kwann!
Wewe Mrs. Air. Ndo nakupa sasa. Wewe vichekee chekee hivyo viserengeti boys mtaani kwako uone. Utatongozwa tu. Hakuna namna. Kutana na mkware supermarket uanze kutabasamu hovyo. Utatongozwa tu.
 
Back
Top Bottom