Msaada: Mfanyakazi mwenzangu anasema ameshamla sana mpenzi wangu wa sasa

Habari zenu wadau,

Mimi ni mgeni kidogo hapa JF,

Ni mwajiriwa na kipato chango si haba, kinaridhisha kwa kiasi chake, kuna binti hapa mtaani nipo nae yapata miezi mitatu, ni msichana mrembo tu katika warembo, twende kwenye point, hii nyumba ninayoishi ni ya ofisi, nina mfanyakazi mwenzangu ambae kila kukicha anamzungumzia huyu mwanamke wangu.

Anasema alishawahi mla kabla yangu (sina hakika) na hana time nae, nilimuuliza huyu binti amenijibu tu kuwa alimtongozaga akamkataa, mbaya zaidi anaenda kisimulia hadi ofisini kuwa nataka kuoa mwanamke ambae yeye amemtumia sana.

Na hii tabia ya kusema kila mwanamke amepita nayo anayo sana, naombeni mnishauri ndugu zangu nifanye nini maana moyo wangu unaumia sana, niachane na huyu mwanamke au nifanyeje.

Ushauri wenu tafadhali, nipo njia panda

Sent using jamii forums mobile app
ulitaka akwambieje sasa, kuwa kachezea sana kisimi cha mchumba wako, anajua kona zote za shubiri ya mchumba wako, na hata ukioa anajua ni wapi unaenda kuwa unachomeka, hadi atakuwa anakushangaa kama utaendelea naye wakati yeye pengine ladha yake anaijua na hakuifurahia hadi akamwacha....?acheni uzinzi ndio maana yanawakuta hayo.
 
Mh ! Nao Ni Ushauri, Sina Budi Kuupokea, Ila Asante Pia kwa Ushauri Wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mpenzi wako akalalamike kuchafuliwa na huyo jamaa ama serikali ya mtaa ama ofusini.Kama ni kweli hawezi kufanya hivyo kama si kweli atafanya hivyo.Lakini hata wewe kwa kuwa tayari ishakuchoma ,itakuuma sana na utakosa amani ktk ndoa yenu juu ya huyo bint.Tayari una dukuduku moyoni japo kuwa penzi halina makombo.asipoliwa na huyo tayari piaa alishaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mshkaji wako anammaindi tu huyo manzi.. kama kaishinae time ago kwann afanye matangazo kila kona....Nikiroho tu kinamuuma, endelea kukandamiza papuchi ya huyo mrembo mkuu.
 
usiwe mnyonge mkuu, iwe kweli isiwe kweli

mtafute dada yake, mdg, wake ama mpenzi wake juu chini na yeye umtumie alafu umsimulie

ila ujiandae wewe ama yeye mmoja kuumia
 
Omba details zote za kutongozwa huyo mpenzi wako na huyo jamaa yako. Yaani piga in-depth interviews kwa huyo mdada. Halafu ulizia majirani wa uhakika, madereva taxi, bajaji, bodaboda, wauza genge kwa mtindo fulani ili wasijue kama unafanya utafiti. Pia jaribu wakati fulani muwe wote watatu ili kusoma body language.

Dots zikigoma kuleta picha ya jogoo basi achilia mbali. Humu JF huwezi kupata suluhisho kwani wengi hatuna data, hapo inatakiwa data yenye quality ya hali ya juu, na wa kuipata hiyo data ni wewe mwenyewe.
 
Kumbe anasema tu, basi na wewe sema kuwa hajamla au umemla yeye huyo rafiki yako, kama mbwayu na iwe mbwayu tu
 
Kusema siyo ishu mbona hata ccm wanasema wanapemndwa ili hali ni kinyume chake
 
Habari zenu wadau,

Mimi ni mgeni kidogo hapa JF,

Ni mwajiriwa na kipato chango si haba, kinaridhisha kwa kiasi chake, kuna binti hapa mtaani nipo nae yapata miezi mitatu, ni msichana mrembo tu katika warembo, twende kwenye point, hii nyumba ninayoishi ni ya ofisi, nina mfanyakazi mwenzangu ambae kila kukicha anamzungumzia huyu mwanamke wangu.

Anasema alishawahi mla kabla yangu (sina hakika) na hana time nae, nilimuuliza huyu binti amenijibu tu kuwa alimtongozaga akamkataa, mbaya zaidi anaenda kisimulia hadi ofisini kuwa nataka kuoa mwanamke ambae yeye amemtumia sana.

Na hii tabia ya kusema kila mwanamke amepita nayo anayo sana, naombeni mnishauri ndugu zangu nifanye nini maana moyo wangu unaumia sana, niachane na huyu mwanamke au nifanyeje.

Ushauri wenu tafadhali, nipo njia panda

Sent using jamii forums mobile app
Habari zenu wadau,

Mimi ni mgeni kidogo hapa JF,

Ni mwajiriwa na kipato chango si haba, kinaridhisha kwa kiasi chake, kuna binti hapa mtaani nipo nae yapata miezi mitatu, ni msichana mrembo tu katika warembo, twende kwenye point, hii nyumba ninayoishi ni ya ofisi, nina mfanyakazi mwenzangu ambae kila kukicha anamzungumzia huyu mwanamke wangu.

Anasema alishawahi mla kabla yangu (sina hakika) na hana time nae, nilimuuliza huyu binti amenijibu tu kuwa alimtongozaga akamkataa, mbaya zaidi anaenda kisimulia hadi ofisini kuwa nataka kuoa mwanamke ambae yeye amemtumia sana.

Na hii tabia ya kusema kila mwanamke amepita nayo anayo sana, naombeni mnishauri ndugu zangu nifanye nini maana moyo wangu unaumia sana, niachane na huyu mwanamke au nifanyeje.

Ushauri wenu tafadhali, nipo njia panda

Sent using jamii forums mobile app
ukitaka kuoa oa , mrandi umeridhishwa natabia na mwenzio umempenda. kama wewe umeisha lala na wengine unaegemea dunia ya sasa utapata wapi BIKRA...........? mwanamke ni swiming pool, usiangalie unaogelea na nani wakati huu, au nani aliogelea kabla yako, au nani ataogelea baada yako. OA ONYESHA PENZI LA DHATI MKE ATAKUWA WAKO.
 
Omba details zote za kutongozwa huyo mpenzi wako na huyo jamaa yako. Yaani piga in-depth interviews kwa huyo mdada. Halafu ulizia majirani wa uhakika, madereva taxi, bajaji, bodaboda, wauza genge kwa mtindo fulani ili wasijue kama unafanya utafiti. Pia jaribu wakati fulani muwe wote watatu ili kusoma body language.

Dots zikigoma kuleta picha ya jogoo basi achilia mbali. Humu JF huwezi kupata suluhisho kwani wengi hatuna data, hapo inatakiwa data yenye quality ya hali ya juu, na wa kuipata hiyo data ni wewe mwenyewe.
Sawa Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau,

Mimi ni mgeni kidogo hapa JF,

Ni mwajiriwa na kipato chango si haba, kinaridhisha kwa kiasi chake, kuna binti hapa mtaani nipo nae yapata miezi mitatu, ni msichana mrembo tu katika warembo, twende kwenye point, hii nyumba ninayoishi ni ya ofisi, nina mfanyakazi mwenzangu ambae kila kukicha anamzungumzia huyu mwanamke wangu.

Anasema alishawahi mla kabla yangu (sina hakika) na hana time nae, nilimuuliza huyu binti amenijibu tu kuwa alimtongozaga akamkataa, mbaya zaidi anaenda kisimulia hadi ofisini kuwa nataka kuoa mwanamke ambae yeye amemtumia sana.

Na hii tabia ya kusema kila mwanamke amepita nayo anayo sana, naombeni mnishauri ndugu zangu nifanye nini maana moyo wangu unaumia sana, niachane na huyu mwanamke au nifanyeje.

Ushauri wenu tafadhali, nipo njia panda

Sent using jamii forums mobile app
Kwani wewe mwanawane huna mguu wa kuku?? Mjambishe mbele ya kadamnasi uone kama hajasema alikua anadanganya....
 
Back
Top Bottom