Recent content by yusta2014

  1. yusta2014

    Ni Kweli ni mimi niliyemkata bikira.

    Mmmmh makubwa hayo
  2. yusta2014

    Natafuta dada wa kunisaidia kazi za nyumbani

    Kimya cha chin n should ngapi? Mm Mwenyewe mshahara laki mbili anakula kwangu, analala kwangu, alikuwa n mie nyie vipi,
  3. yusta2014

    Unakumbuka nini siku ulipoanza darasa la kwanza?

    Hahahaha nakumbuka shule ya isenga nipo na uniform zangu za kijan very smart, ila kuandika kwenye mchanga ndiyo ilikuwa inshu mwaka 88 dah tumetoka mbali. Sana
  4. yusta2014

    Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

    Nipatie mimi hizo hela
  5. yusta2014

    Malaysian Prime Minister: Flight M 370 Malaysia Plane Crashed Into Indian Ocean

    Waache kuidanganya dunia wamechoka naitafuta na kwa kifupi wamezidiwa ujanja wa kitechnolojia walikubali hili kwanza, kweli huku dunian ukijifanya wewe ndiyo zaid kuna zaid yako, siwez. Sema r.I.p maana sina uhakika kama kweli hizo habar n za kweli.
  6. yusta2014

    Malaysian Prime Minister: Flight M 370 Malaysia Plane Crashed Into Indian Ocean

    Nn kilitokea ilianguka bila sababu mbona hawatoi msg inayoridhisha, kila ajar inasababu
  7. yusta2014

    Niliupenda ualimu ila kunipanga serengeti ujasiliamali umenipenda zaidi;

    Wenzio tupo huku wilaya ya ngorongoro tunapiga story na wamasai mashuka yananuka balaa hadi tumezoea hapa nilipo nimempata diwani ndiyo nimeamua kujilipua. Nenda huko ukapate maisha bora
  8. yusta2014

    Niliupenda ualimu ila kunipanga serengeti ujasiliamali umenipenda zaidi;

    C lazima kwenda shule zipo nyingi ukiona vipi anza upya somea accounts
  9. yusta2014

    Official: Malaysian investigators conclude missing airliner hijacked!

    Alishatabiri tb joshua Na pia amesema ndege ipo chin ya bahar watu wote wamekufa.
  10. yusta2014

    Nifanyeje?

    Wapeleke kwa mashangazi zao yaan upande wa baba yako, yaan wewe mvumilivu hongera kwa hilo, mm nisingoweza jaman nani kama mama sembuse hao intruder mpfyuuuuu
  11. yusta2014

    Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

    WATU WAJINGA SANA, MTU WA SEMBE HALAFU WANAMCHAGUA HUYO HUYO ANA WAHARIBU VIJANA WENU MFYUUU:faint2::target::Cry:
Back
Top Bottom