Malaysian Prime Minister: Flight M 370 Malaysia Plane Crashed Into Indian Ocean

Malaysian Prime Minister: Flight M 370 Malaysia Plane Crashed Into Indian Ocean

waziri mkuu wa
malaysia razak ametangaza rasmi kuwa,ndege mh370 ilianguka na kuzama ktk
bahari ya hindi na wasafiri wote waliokuwemo ndani ya ndege wamepoteza
maisha yao
chanzo: Cctv news

wapepe!
 
Dah kifo cha maji na moto jamani nyie acheni tu' wapumzike kwa Amani

yaani ukifikiria kiundani unaona kabisa aina hii ya kifo ni mbaya zaid na walikuwa wanaelewa kabisa kuwa sasa basi tena,kwani ndege ilisafiri umbali mrefu sana kabla ya kuanguka na kuzama majini
 
waziri mkuu wa malaysia RAZAK ametangaza rasmi kuwa,ndege MH370 ilianguka na kuzama ktk bahari ya hindi na wasafiri wote waliokuwemo ndani ya ndege wamepoteza maisha yao
chanzo: cctv news

images
images
images
images

Inasikitisha!!
 
yaani ukifikiria kiundani unaona kabisa aina hii ya kifo ni mbaya zaid na walikuwa wanaelewa kabisa kuwa sasa basi tena,kwani ndege ilisafiri umbali mrefu sana kabla ya kuanguka na kuzama majini

Aisee bora hata wangeanguka Nchi kavu
 
ni kweli mkuu,hadi sasa hivi wapo live wanaendelea kuliongelea,unaweza angalia cctv news[Breaking News]

Samahani mimi nikombali na tv, je wameonyesha ushahidi wowote wakubeba hiyo taarifa yao? Au ni makisio tu baada ya kuchoka kutafuta?
 
Samahani mimi nikombali na tv, je wameonyesha ushahidi wowote wakubeba hiyo taarifa yao? Au ni makisio tu baada ya kuchoka kutafuta?

hawajaonyesha na PM RAZAK kawaonya waandishi wa habari kuheshimu haki ya wafiwa na waliokufa pia,hii inamaanisha kuwa itakuwa ngumu kuona hizo picha
 
Nn kilitokea ilianguka bila sababu mbona hawatoi msg inayoridhisha, kila ajar inasababu
 
New satellite data reveals that missing Malaysian Airlines Flight 370 "ended" its journey in a "remote location" of the southern Indian Ocean, Malaysian Prime Minister Najib Razak said today. "This is a remote location, far from any possible landing sites. It is therefore with deep sadness and regret that I must inform you that, according to this new data, flight MH370 ended in the southern Indian Ocean," a somber Razak said during a media briefing. The jet vanished on March 8 with 239 people on board after it took off from Kuala Lampur bound for Beijing. Malaysia Airlines Families Faint, Cry, Scream Over News
French Satellite 'Radar Echoes' May Have Found Debris

The announcement follows weeks of searches that spanned the South China Sea, Strait of Malacca and finally the south Indian Ocean off of Australia as authorities tried to figure out what happened to the plane. The new information came from British satellite maker Inmarsat, which used a new type of analysis never before used to try and pinpoint the plane's last known location, Razak said. [Inmarsat] has been performing calculations on the data using type of analysis never before used in an investigation of this sort and they have been able to shed more light on MH370. Based on the new analysis, Inmarsat and the [British] Accidents Investigation Branch have concluded that MH370 flew along the southern corridor and that it's last position was in the middle of the Indian Ocean, west of Perth," Razak said. He noted that Malaysia Airlines had already been in touch with the families of the 289 people on board, saying that he knew the past few weeks had been "heartbreaking" for them and that this latest development must be harder still.

The airlines sent a text message to the families, one of whom shared the message with ABC News:
"Malaysia Airlines deeply regrets that we have to assume beyond any reasonable doubt that MH370 has been lost and that none of those on board survived. As you will hear in the next hour from Malaysia's Prime Minister, we must now accept all evidence suggests the plane went down in the Southern Indian Ocean," the message read. Earlier today, an Australian plane spotted two objects described as gray or green and "circular" as well as orange and "rectangular" in the search area off Australia's coast. Other search crews had spotted "suspicious objects" in the Indian Ocean over the weekend -- including items believed to be wooden pallets. The Malaysian government said that the missing Boeing 777-200 had been carrying wooden pallets, were not yet sure whether the pallets matched. No wreckage has yet to be recovered. Investigators are still trying to determine what happened to the plane after it took off around midnight from Kuala Lumpur, Malaysia, headed for Beijing, China. It disappeared off the radar shortly after 1 a.m. but continued to fly, according to satellite data, for up to seven hours. Malaysian authorities are considering the possibilities of hijacking, sabotage, terrorism or issues related to the mental health of the pilots.

Source: Officials Say Missing Malaysia Airlines Plane 'Ended in the Southern Indian Ocean' - Yahoo
 
Halafu wakuuu, mimi ninajiuliza huo umbali wote ilikuwa inasafiri na kwenda kabisa kinyume na safari haiwezekani kweli kama wale waliosadikika two Iranians with fake passports walikuwa wanalazimisha kitu Fulani hivi? Maana walisema kabisa mfumo wa mawasiliano ulikuwa off deliberately. Jamani nimeumia sana, tena sana jamani. Mungu anajua jinsi gani hawa abiria walikuwa wanaona kabisa life is finished!!! Kifo unakiona!!!
 
Nn kilitokea ilianguka bila sababu mbona hawatoi msg inayoridhisha, kila ajar inasababu
Hiyo ndege ni kizungumkuti, naona wamechoka kutafuta, maana hata hizo objects zenyewe hazijathibitishwa kuwa ndio hizo wanasema hii ni kutokana na sattelite za UK ziliona ndege hiyo maeneo hayo mara ya mwisho na hakuna kiwanja karibu, ila kesho wanasema watatoa taarifa zaidi Officials Say Missing Malaysia Airlines Plane 'Ended in the Southern Indian Ocean' - Yahoo
 
[h=1]Malaysia:Ndege ilianguka baharini[/h]
Imebadilishwa: 24 Machi, 2014 - Saa 14:51 GMT

140324141155_najib_malaysia_presser_304x171_afp_nocredit.jpg
Waziri mkuu wa Malaysia Najib Razak

Shirika la ndege la Malaysia limewaambia jamaa na familia za abiria waliokuwa wanasafiri kwa ndege iliyotoweka MH370 kwamba ndege hiyo imepotea na kwamba hakuna manusura.
Tangazo hilo limetolewa kwa familia hizo kwa njia ya ujumbe wa simu ya mkononi , ambao BBC iliweza kuuona.

[h=2]Taarifa zinazohusiana[/h]

Ndege ya Malaysia MH320 ilitoweka ikiwa na abiria 239 baada ya kuruka kutoka uwanja wa ndege wa Kuala Lumpur tarehe 8 mwezi huu.
Aidha tangazo hilo limekuja huku juhudi za kutafuta mabaki ya ndege hiyo Kusini mwa Bara Hindi zikimalizika kwa siku ya tano bila mafaniko.
Waziri mkuu wa Malaysia amesema kuwa ndege hiyo ilianguka Kusini mwa Bahari Hindi, bila ya manusura wowote.
Aliambia waandishi wa bahari kuwa udadisi uliofanyiwa data ya Satelite kutoka Uingereza ndio umewathibitishia kwamba ndege hiyo ilimalizia safari yake Magharibi mwa mji wa Perth mbali na eneo lolote la kutua.
Ameomba vyombo vya habari kuheshimu familia za watu waliokuwa ndani ya ndenge hiyo, akisema kuwa anasikitishwa sana kwani kipindi chote walichosubiri taarifa njema , mwishowe imekuja kuwa taarifa mbaya hata zaidi.
Ndege ya Malaysia MH-370, ilipoteza mawasiliano wiki mbili zilizopita na meli za nchi mbali mbali pamoja na ndege zimekuwa zikitafuta angalau mabaki ya ndege hiyo bila ya kupata chochote.
 
Waache kuidanganya dunia wamechoka naitafuta na kwa kifupi wamezidiwa ujanja wa kitechnolojia walikubali hili kwanza, kweli huku dunian ukijifanya wewe ndiyo zaid kuna zaid yako, siwez. Sema r.I.p maana sina uhakika kama kweli hizo habar n za kweli.
 
Back
Top Bottom