prettydiva
Senior Member
- Feb 19, 2014
- 101
- 39
Mtoto mkubwa anasoma Diploma in Accountancy (namsomesha kwa kinguvunguvu maana ndugu zangu wote hawapendi). Huyu yupo chuoni. Wa pili amemaliza VETA (naye nililipa karo mpaka dadazangu wengine wamentenga), huyu ndio tatizo. He is 19 now. Wengine wawili wapo Sekondari Form 3 kitindamimba yupo Std 6. Huyo wa VETA ana walioko Sekondari wamekuwa mwiba sana kwa mama yangu. Lakini niwafanyeje??
pole sana..mimi naona itisha kikao na wawepo hao watoto wote na uwaeleze ubaya wa matendo yao,uwape muda wa mwezi mmoja wa kubadilika na ukiona mwezi umeisha lakin bado hakuna mabadiliko waachie nyumba ww mchukue mama uishi nae.Huyo mkubwa wa diploma anaweza kuangalia wenzie,msaada uliotoa unatosha wasijekumdhuru mama yako pia na wema wako ukageuka mwiba kwa ndugu zako wa tumbo moja maisha yote.