Official: Malaysian investigators conclude missing airliner hijacked!

Official: Malaysian investigators conclude missing airliner hijacked!

It's most likely wamarekani wamecheleweshwa sana kufanikisha kuipata hiyo ndege kutokana na sera za kijinga za umagharibi na umashariki za kichina za wamalaysia lakini wamarekani wanaonekana kuwa na uelekeo sahihi na wanaweza kuipata soon.
Siasa ni mchezo mbaya sana...
 
Kwenye news inapatikana. Wala si simu tu bali hata wale waliokuwa wanatumia social media kama Facebook and Twitter, account zao zinaonekana kuwa active... Fwatilia news usisubiri kulishwa!


Umeshapata technical views za hayo madai?
Kuwa active ni swala moja na ku-responde ni swala jingine.
Wenzako tumeshapita huko. Karibu tuendeleze mada.
 
Alishatabiri tb joshua Na pia amesema ndege ipo chin ya bahar watu wote wamekufa.
 
Asante sana mkuu Kiranga, naamini tumeitumia vizuri ile philosophy ya "question every thing" na sasa kwa kiasi kikubwa tumepata mwanga wa hali ilivyo. I am so relaxed now. I think the mystery is no longer a mysterious.
 
Just jiving.

Even though on the level of some Michio Kaku crossed with Stephen Hawking sprinkled with Roger Penrose and finally stirred with a dash of Brian Greene.
Kiranga kidonda hakijapona unaendelea kukichokonoa ...
 
Last edited by a moderator:
Unazungumzia ku-synchronize data za ndege ikiwa angani na servers za aridhini siyo?

Ndio. Theoretically, that should be an easy thing to do, subject to Kiranga's comments. Hakuna haja ya kutafuta ka-black box chenye data chini ya maji. It sound so 19th century!!! Ilichukua almost miaka miwili kupata black box ya Air France Flight 447 kwenye kina cha maji cha kama kms 4 hivi. There's this nice article worth reading
 
Yaan ndege hii ingekua na rais yeyote wa kiafrika ningefarijika sana,au hata mkuu wa wilaya wa nchi yeyote ya kiafrika,ila nawahuzunikia hawa jamaa
 
Alishatabiri tb joshua Na pia amesema ndege ipo chin ya bahar watu wote wamekufa.

Duuuuh simchezo #yusta and how many times ametabiri ikawa kweli..?

Could it be a reason why most troops concentrated to find the plane in the water...

faith vs science =???
faith + science = ???

Hali bado tete thanks for wachambuzi wa humu ndani mko vizuri sana coz there things are explained beyond my knowledge lakini hivyohivyo tu tutaenda sawa... LEGOOOOOO
 
Ndio. Theoretically, that should be an easy thing to do, subject to Kiranga's comments. Hakuna haja ya kutafuta ka-black box chenye data chini ya maji. It sound so 19th century!!! Ilichukua almost miaka miwili kupata black box ya Air France Flight 447 kwenye kina cha maji cha kama kms 4 hivi.


Yes, there is a computer model device(not a black box) which kept on sending data telling the wellbeing of the plane from the engine to the toilet but it also stopped few hours baada ya kupoteza uelekeo.
 
Kiranga ....unaweza kuamua kujibu au kutojibu.......I will be happy ukijibu.....What is the field of your specialization?
 
Last edited by a moderator:
Kama alivyosema Kiranga, hapa kuna tatizo la geopolitics. Inawezekana kabisa kuwa hawa wa malay wanaficha vitu fulani kwa wachunguzi wa nje kwa aidha kuhofia kuonesha uzembe waliofanya au kuhofia kuibiwa siri zao za ndani.
Huu ujinga unapelekea zoezi kuwa gumu kwakuwa watafutaji hawafanyi kazi kama timu moja.

Lakini una uhakika gani kuwa tatizo ni geopolitics na si kwamba hakuna anayejua wapi ilipo hiyo ndege? Maana sasa hivi kila mtu ana-speculate tu na hakuna mwenye habari za uhakika.

Hivyo, hata hayo mambo ya geopolitics nayo yanaweza kuwa ni speculations zinazotokana na ukosefu wa habari za uhakika.

Kumbuka kuwa nature abhors vacuum. Hivyo, penye ukosefu wa habari za uhakika watu wanajaza hilo ombwe na nadharia zao za kila aina.

Nakwambia ukizisikia baadhi ya nadharia zilizopo kuhusiana na kupotea kwa hiyo ndege unaweza kuvunjika mbavu.

Kwa hiyo, mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wowote kwa nini hiyo ndege haijulikani ilipo, pia haijulikani kwa nini mpaka sasa bado haijapatikana.

Kinachojulikana ni kupotea kwa hiyo ndege. Mengine yote ni speculations tu.
 
Mengi yatasemwa kabla ukweli halisi haujajulikana
 
Ofcourse there is a high probability of a plane falling into the sea (due to the fact that there is a big mass of water/sea), it does not need divine intervention nor prophecy. Regarding the parts will be found any moment from now.... ?!!!! , when does any moment from now ends ?, that was on the 9th today is the 14th has any moment ended or how long should we wait.
 
Back
Top Bottom