Recent content by yun mo

  1. yun mo

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
  2. yun mo

    Kwanini maneno yasiyotamkwa mbele ya kadamnasi ya watu wameamua kuyaweka katika kamusi ya Kiswahili sanifu? What's the logic behind this?

    Maneno hayo hayawezi kuondolewa katika kamusi kwa sababu zifuatazo, 1. ndio maneno msingi au mama wa maneno mapya yanayozaliwa leo hii 2. maneno hayo msingi hatuyatumii kwa kuwa tumekuta jamii tunayoishi nayo haitumii maneno hayo ingawa kwenye kamusi yapo. Hii ina maana kuwa tumerithishwa...
  3. yun mo

    Kwanini maneno yasiyotamkwa mbele ya kadamnasi ya watu wameamua kuyaweka katika kamusi ya Kiswahili sanifu? What's the logic behind this?

    Maneno yote yapo, ila jamii inahofia kutumia maneno hayo kwa sababu ya aibu, au kutumia maneno ya mbadala
  4. yun mo

    Utapeli mtandaoni: Matapeli wanajuaje namba ya Siri?

    Huenda huyo jamaa alimtumia IT man hiyo namba ya mama yako,
  5. yun mo

    Dada zangu punguzeni machaguo, muolewe...

    [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. yun mo

    Ilibaki kidogo nifumaniwe nyumbani kwa Classmate

    [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. yun mo

    Naomba kujuzwa maana ya msemo huu

    Habari zenu waungwana, Naombeni msaada wenu, juu ya maana ya neno "Asha kum si Matusi" Maana watu hulitumia na kuweka neno la tusi mfano; Asha kum si matusi - Mbwa wewe.
  8. yun mo

    Kwanini maneno yasiyotamkwa mbele ya kadamnasi ya watu wameamua kuyaweka katika kamusi ya Kiswahili sanifu? What's the logic behind this?

    Habari zenu wanna jf, namshukuru mungu mm mzima.... Jibu la swali lako ni kuwa, kamusi NI kitabu kinachobeba maneno na kuyatolea maana(kidahizo/vidahizo) lengo kubwa la kuunda kamusi ni kuhifadhi maneno, tukumbuke kuwa kuhifadhi Jambo katika maandishi huweza kudumu kwa mda mrefu kuliko...
  9. yun mo

    Kuoga mara mbili

    ila kwa kuwa piss kali lazima uoge Mara 7 per day
  10. yun mo

    Mlio usioumiza...

    Hivi waungwana waa JF Kuna mlio mzuri mwingine ukiachana na "triiiiiii" wa ATM
  11. yun mo

    Hodi humu ndani

    Umepokelewa....kwa mikono miwili
  12. yun mo

    Hodi !

    ME
  13. yun mo

    Push Up 200 kwa Siku ni hatari kwa Afya!!

    ila Kuna baadhi ya maeneo hata Kama hujafanya mazoezi utajikuta tu una nguvu, mfano: Wale wanaosubiri matatu( daladala) kutoka mbagala kuelekea k,Koo / gongo la mboto[emoji23][emoji23][emoji23]
  14. yun mo

    Jinsi ya kutag

    Angalien msije kutagiana mayai... [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom