Push Up 200 kwa Siku ni hatari kwa Afya!!

yun mo

Member
Oct 6, 2020
16
20
ila Kuna baadhi ya maeneo hata Kama hujafanya mazoezi utajikuta tu una nguvu, mfano: Wale wanaosubiri matatu( daladala) kutoka mbagala kuelekea k,Koo / gongo la mboto
 

1kush africa

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
7,842
2,000
Inawezekana maana Mimi nilikuwa napiga 900 asbh 300 mchana 300 na jioni 300 nikawa kama mdudu lkn sasa spinal inasumbua sana
Hahahahah
Hahahahaha pole mwamba

Push usipokuwa makini nakoz zinatoka

Ukikaa sehem watu wanakuhisi ww ni kitengo maalum
 

1kush africa

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
7,842
2,000
Kiafya unatakiwa ufanye mara moja tu kwa siku ili muscles zipate muda wa kurecover....tena ikiwezekana kesho yake unatakiwa upumzike ufanye mazoezi part nyingine ya mwili like squats hivi...na lazima uweke Siku za kupumzka kabisa moja au mbili kwa wiki...
Uko sawa mkuu.

Watu wanajiover doz
 

HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,505
2,000
Mia mbili sio tatizo hata kidogo iwapo utazipiga kwa awamu, inategemea na uwezo wako unaweza kupiga ngapi kabla ya kupumzika.

Kama utaweza kupiga kuanzia hamsini bila kupumzika, mia mbili na hata zaidi ya mbili kiafya sio tatizo hata kidogo. Awamu zako nne mia mbili umeshamaliza.

Kwa wale ambao tunapiga pushapu ikiwa sehemu ya Maisha yetu ya kila siku, mia mbili mbona kidogo kwa siku.

Na hata ukiamua kwenda ishirini na tano, kisha unapumzika kabla ya kwenda awamu nyingine, Mia tatu zinapigika bila wasi
 

BRN

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
1,402
2,000
Haina shida Ila inatakiwa ukimaliza kupiga hizo push ups lazima ufanye mazoezi ya kustrech muscles ili zirudi kwenye hali ya kawaida..kama hufanyi hivyo utapata ulemavu wa mgongo kama ule walionao wabeba vyuma vizito/mabaunsa..nadhani unawaona walivyo..hicho ndio anachokiongelea mtoa hoja.
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
87,643
2,000
Haina shida Ila inatakiwa ukimaliza kupiga hizo push ups lazima ufanye mazoezi ya kustrech muscles ili zirudi kwenye hali ya kawaida..kama hufanyi hivyo utapata ulemavu wa mgongo kama ule walionao wabeba vyuma vizito/mabaunsa..nadhani unawaona walivyo..hicho ndio anachokiongelea mtoa hoja.
Ulemavu gani wanao watu wanaofanya mazoezi ya kunyanyua vyuma vizito?
 

BRN

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
1,402
2,000
Labda kama hazifanyiki vizuri, mpigaji push up anakosea kukaa,

Vinginevyo napingana na hawa wataalam.

Yaani push up ikafanye mgongo upinde kama ........ Sio kweli.
Pushups zinafanya mgongo unyooke vizuri.
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
87,643
2,000
Mkuu huwaoni wanavyotembea wakiwa mgongo umepinda?hivi ile ni hali ya kawaida?
Sidhani kama unajua unachokiongelea wewe!

Hujui chochote kuhusu stretching. Hujui hata madhumuni yake.

Ili kudhihirisha ujinga ulionao, umewaita ‘mabaunsa’.

Unajua maana ya neno ‘baunsa/ bouncer’ kweli wewe?

Ulichonacho ni ufahamu wa kienyeji tu ambao umejaa upotofu mtupu!!!
 

FredMaria

Member
Oct 2, 2020
23
45
Suala ni usahihi katika kufanya zoezi la push up tatizo la kubadilika shape ya uti wa mgongo ni kutokana na namna unavotekeleza zoezi lenyewe...

Kuna app ya HOME WORK OUT ukifata hii app maelekezo yake ni mazuri na hakuna athari yoyote endapo tu utafanya kifasaha
 

Attachments

  • Screenshot_20201122-105037.png
    File size
    307 KB
    Views
    0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom