Habari Wana JF
Kwa maisha ya sasahivi ya vijana wakiume na utandawazi uliopo yanaelekea hatarini
Nakumbuka kipindi nakuaa nilipoanza form 3 katika kupigapiga story darasani ziliingia story za mahusiano ambazo zilianzishwa na kijana mmoja.
Inshort katika story hizo mada iliyobadilisha maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.