Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,222
- 14,246
Sijatukana mkuu, ila uliposema huyo dada hakupenda kuwa hivyo umesema kana kwamba unamjua kindaki ndaki.Mkuu wangu Mnyenz na leo unataka tugombane tena ?
Hapana wewe ni jamaa yangu ,tubishane kwa hoja sio matusi ila ikifika hatua ya kupimana nguvu ,PM yangu ipo wazi namba nitatoa ili tukutane walau ijulikane nani zaidi upande wa ngumi ila kwa matusi mimi mweupe kaka mkubwa .
BTW mie siwezi hata kurusha ngumi, mwili wangu ni wa mapenzi. Amani itawale.