Recent content by yuga

  1. yuga

    Tanzania kujigharamia uchaguzi yenyewe

    Mmesahau hela tayari ilikujaga na wale ndugu zenu wavaa vilemba na nguo nyeupe. Na walishapewa kipande cha maji pale mitaa ya mzizima wakishugulikie milele haitoshi wamepewa misitu huko maeneo watunze wanyama shida iko wapi kwani
  2. yuga

    Aina za Pikipiki: Ipi "taste" yako kwa Matumizi Binafsi?

    Hapana mkui inaweza ikawa na single piston na inaenda 4 stroke kwa maana ya mizunguko miine . 1. Kuingiza hewa na mafuta {intake) 2. Compession kuya bana ule mchanganyiko wa hewa na mafu 3. Power sroke hapa yakishwa banwa heat na energy inaongezeka sparkplaga inatoa cheche mlipuko unagokea na...
  3. yuga

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Hivi hapa mpiga picha anakuwa mwanaume au mwanamke na km ni mwanaume wanakuwa wangapi humo ndani om ni wawili naamini malipo ni shoo ya kibabe
  4. yuga

    Naomba kufahamu kuhusu mishahara ya walimu wa Veta

    Wajuzi wa mambo mje mtupatie uhakika wa hili jambo
  5. yuga

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Picha kwenye app ya jamii forum zinazingua hazionekani mwenye app ya zamani anitumie
  6. yuga

    Uagizaji wa bidhaa mtandaoni

    Mliyowahi kuagiza bidhaa mitandaoni naombeni uzoefu ili nifikiwe na mzigo wangu kwa urahisi na uaminifu nifanyeje? Na vitu gani nahitaji kuwa navyo ili niagize laptop Na je nikiagiza laptop iliyopo kwenye picha pale kwenye tangazo itakuja yenye specification exactly hizo hizo au kuja...
  7. yuga

    Masikini anazaa watoto wengi na kushindwa kuwahudumia

    Maskini anazaa watoto wengi ili kukompasate watakao kufa
  8. yuga

    Niende Newalla au Songea?

    Usidahau wamakua kaka wapo njema sema wachafu
  9. yuga

    Yupi Mungu wa kweli Allah and Yaweh

    60% ya Quran imetoka kwenye biblia na kuna maeneo ukisoma kwenye qurani inakuambia ukasome biblia sasa unapoleta story za kufikirika uje na hoja. Kwanza dini zimekuja kututenganisha hapa duniani
  10. yuga

    Namtafuta Mtangazaji Glory Robinson a.k.a Mtoto wa Mama Sabuni

    Yule atakuwa alipelkwa kufanya kazi maalum nje ya nchi itakuwa ni jasusi
  11. yuga

    Chakula cha usiku kiliwe kistaarabu na si kwa kelele mpaka kuamsha watoto

    Mwiko unapozunguka ndani ya chungu kuna kelele huwa zinatoka mkuu. Ila sasa kelele zinanoga kama chungu kikiwa chepesi ila lichungu likiwa lizito limejilalia tu alafu linakupigia kelele piga makofi hiyo ng'ombe isikupigie kelele.
  12. yuga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Singida leo wamezingua sana
  13. yuga

    Ajira portal ni tatizo

    Hebu na ww acha ubishi mkuu huo ndo ukweli kwani hujaoma kijana mdogo alivyomtoa jasho professor wa sheria na dogo ni degree holder. Ukiambiwa kitu usibishe wafanyakazi wengi wa serikali wenye nyadhifa kubwa kubwa wana midomo tu lakin ukija kwenye suala la kutoa mawazo au fikra za maana hakuna...
  14. yuga

    Nigeria yawazimia umeme Niger kama kikwazo cha ECOWAS

    We jamaa nimekwambia acha kutupatia story za wazungu zilizotungwa zikawekwe shuleni za kiafrika kuwazuga fuatilia historia ya africa ya ukweli utajua vizuri mambo yakoje Hivi ww duniani hapa nchi zote zilizoendelea hazitumii mfumo wa democrasia hata hiyo marekani unayoiona kwa jicho la kwaida...
Back
Top Bottom