Yupi Mungu wa kweli Allah and Yaweh

Yupi Mungu wa kweli Allah and Yaweh

Huyo aliyekufafanulia hilo andiko akakudanganya kuwa hilo andiko ndio linathibitisha kuwa Mtume Muhammad ndio Muislam wa kwanza hapa Duniani

Mpe na andiko hili akufafanulie

Quran 42:13 -
Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo.
Huu ni uongo.Quran imedanganya.Kusema dini ya Musa ndiyo dini ya Muhammad huo ni Uongo ambao hata ninyi wenyewe unawapa tabu.Musa kapewa torati.Na alikuwa mfoasi wa torati.Alifuata yote yaliyo kwenye torati ambayo yanapingana kabisa na uislamu huu mlionao
1-Alikuwa mtunza sabato(jumamosi)
2-Hakuwahi kula ngamia au najisi yoyote iwe kwa dhiki au Hamu
3-Alisheherekea idi ya vibanda ambayo uislamu hauijui
4-Aliabudu kwenye hekalu sio misikiti
5-Alimuabudu YAHWEH AU YEHOVA sio Allah.n.k.
Sasa hayo yako mbali kabisa na uislamu.Ila manabii wote waliyafuata hayo yote.Na ndiyo yanayofuatwa na wayahudi walio wengi leo.Sasa vipi aje mtu adai ni nabii wa MUNGU wa Musa halafu ayapinge ya Musa!
 
Mungu ni mmoja tu nae ndio aliyoumba mbingu na aridhi na viumbe vyote

Waisrael waliacha kufuta uislam ambayo ndio dini ya Babu zao Yani Ibrahim, Isihaka na Jacobo wakazusha dini Yao Kwa maslahi wanayoyajua wao na sio kama hawajui wanajua sana illa ni jeuri Yao tu

Quran 2:40 -
Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo kuneemesheni, na timizeni ahadi yangu, na Mimi nitatimiza ahadi yenu, na niogopeni Mimi tu.

Quran 2:41 -
Na aminini niliyo yateremsha ambayo yanasadikisha mliyo nayo, wala msiwe wa kwanza kuyakataa. Wala msiuze Ishara zangu kwa thamani ndogo. Na niogopeni Mimi tu.
60% ya Quran imetoka kwenye biblia na kuna maeneo ukisoma kwenye qurani inakuambia ukasome biblia sasa unapoleta story za kufikirika uje na hoja. Kwanza dini zimekuja kututenganisha hapa duniani
 
Huu ni uongo.Quran imedanganya.Kusema dini ya Musa ndiyo dini ya Muhammad huo ni Uongo ambao hata ninyi wenyewe unawapa tabu.Musa kapewa torati.Na alikuwa mfoasi wa torati.Alifuata yote yaliyo kwenye torati ambayo yanapingana kabisa na uislamu huu mlionao
1-Alikuwa mtunza sabato(jumamosi)
2-Hakuwahi kula ngamia au najisi yoyote iwe kwa dhiki au Hamu
3-Alisheherekea idi ya vibanda ambayo uislamu hauijui
4-Aliabudu kwenye hekalu sio misikiti
5-Alimuabudu YAHWEH AU YEHOVA sio Allah.n.k.
Sasa hayo yako mbali kabisa na uislamu.Ila manabii wote waliyafuata hayo yote.Na ndiyo yanayofuatwa na wayahudi walio wengi leo.Sasa vipi aje mtu adai ni nabii wa MUNGU wa Musa halafu ayapinge ya Musa!
Musa aliamini mungu mmoja kama waislamu na musa hakuwahi kumshirikisha mungu eti mungu amezaliwa sijui ana mtoto na mama, na hiyo ndio basic principle ya uislamu na ukiangalia jews hawali nguruwe kama waislamu na vitu vingi nimeahaeka hapo juu kuhusu professor mmoja alifanya research akasema jews na muslims wapo na vitu vinavyofanan kuliko christians
 
Na kwa kiarabu masjid de synagogue
Mkuu mimi sio mmoja kati ya watu wenye mihemko ya kidini hata kidogo ila alwayz naongea facts kwa sababu sipo kushabikia upande wwote ule..
Kwa sababu pande zote haziko sawa na hakuna mwenye afadhali zaidi ya mwenzake wote wamepotoka tu..
Punguza mihemko sikilizaneni kwa hoja na mjijibu kwa hoja..Japo naanimi hakuna mwenye afadhali
 
Hapa duniani pesa N technology Ndio zinashind
Yes ingawa si wakati wote. Kuna wakati mungu huingilia kati pesa sometimes hazikusaidii ndio hapo tunapokumbuka kwamba hakika mungu yupo, yule billionaire wa apple aliumwa hadi akawa anaenda kwa waganga wa kienyeji india lakini pesa zake na technology yake haikumsaidia
 
Katika vita hivi vya Israeli na Palestina nimejifunza kitu kimoja.
Vita hivi vinapiganwa kimwili na kiimani.
Baada ya kuona video kazaa za akina mama wa Israeli wakimlilia yeweh awasaidie katika mapambano hayo washinde wao.
Ivo ivo kwa upande wawapelstina na ndugu zangu waislam nao wanamlilia allah wao awasaidie katika mapambano haya washinde.
Sisi watu ambao tulimpoteza Mungu wetu.
Tunaangalia yupi Mungu wa kweli hapa.
Atakaye shinda ndo kunapatikana Mungu wa kweli.
Kwani wewe kwenye hiyo Vita umemuona mungu yoyote aliyejitokeza kusaidia,? isipo ni Wao wenyewe wanauwana kama inzi
 
Ubaya wa Issue za DIni, ni ukipigwa utaambiwa wakati wa Mungu haujafika.

Kuhusu kupigwa atapigwa Palestina na Wadau wake
 
Yahwe ndio Mungu wa kweli,achana na ki mungu cha mchongo ambapo kila siku wafuasi wake kupiga kelele alakbar.
inaelekea huyo wa kwenu ni produser maana siku hizi munaimba regae rumba bolingo ok bora siku ziendelee
 
Mungu ni mmoja tu nae ndio aliyoumba mbingu na aridhi na viumbe vyote

Waisrael waliacha kufuta uislam ambayo ndio dini ya Babu zao Yani Ibrahim, Isihaka na Jacobo wakazusha dini Yao Kwa maslahi wanayoyajua wao na sio kama hawajui wanajua sana illa ni jeuri Yao tu

Quran 2:40 -
Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo kuneemesheni, na timizeni ahadi yangu, na Mimi nitatimiza ahadi yenu, na niogopeni Mimi tu.

Quran 2:41 -
Na aminini niliyo yateremsha ambayo yanasadikisha mliyo nayo, wala msiwe wa kwanza kuyakataa. Wala msiuze Ishara zangu kwa thamani ndogo. Na niogopeni Mimi tu.
Mkuu pitia historical ya human civilization
 
DIni ni mapokeo na watu makini wakazifanya ziwe sehemu za msaada wa Serikali.

Hakuna anayejua kaburi la Musa lilipo,
Yesu alipaa
Mohammed ajulikani alipozaliwa, hakuna aliyeowahi kuona mfupa wake wala anayeruhusiwa kuingia alipozikwa

Haya yote yanaonesha kwa kiasi kikubwa hawa ni Legendary figures kuliko real feagures
 
Huu ni uongo.Quran imedanganya.Kusema dini ya Musa ndiyo dini ya Muhammad huo ni Uongo ambao hata ninyi wenyewe unawapa tabu.Musa kapewa torati.Na alikuwa mfoasi wa torati.Alifuata yote yaliyo kwenye torati ambayo yanapingana kabisa na uislamu huu mlionao
1-Alikuwa mtunza sabato(jumamosi)
2-Hakuwahi kula ngamia au najisi yoyote iwe kwa dhiki au Hamu
3-Alisheherekea idi ya vibanda ambayo uislamu hauijui
4-Aliabudu kwenye hekalu sio misikiti
5-Alimuabudu YAHWEH AU YEHOVA sio Allah.n.k.
Sasa hayo yako mbali kabisa na uislamu.Ila manabii wote waliyafuata hayo yote.Na ndiyo yanayofuatwa na wayahudi walio wengi leo.Sasa vipi aje mtu adai ni nabii wa MUNGU wa Musa halafu ayapinge ya Musa!
Haya madini yameharibu watu akili
 
Kuna watu wanaitwa mashahidi wa yehova😂 ,
Lakin anaishi bongoland
 
Na huyu mzungu ni kingozi wa chama kikuu uholanzi na aliipiga vita dini ya kiislamu na hadi kupeleka miswada bungeni ili kupunguza waislamu uholanzi na akawa anaandika kitabu kukashifu uislamu , ila leo amesilimu ndio ujue mungu ana nguvu na mungu ana njia zake, sasahivi ni swala tano
Kabisa mungu wenu ananguvu na sio Mungu muweza wa mbinguni
 
Katika vita hivi vya Israeli na Palestina nimejifunza kitu kimoja.
Vita hivi vinapiganwa kimwili na kiimani.
Baada ya kuona video kazaa za akina mama wa Israeli wakimlilia yeweh awasaidie katika mapambano hayo washinde wao.
Ivo ivo kwa upande wawapelstina na ndugu zangu waislam nao wanamlilia allah wao awasaidie katika mapambano haya washinde.
Sisi watu ambao tulimpoteza Mungu wetu.
Tunaangalia yupi Mungu wa kweli hapa.
Atakaye shinda ndo kunapatikana Mungu wa kweli.
Mungu wa Kweli ni yule ambaye
Anaponya wagonjwa
Anafufua wafu
Anasamehe wenye dhambi
Ana habari njema kwa watu wote
Wa amani

Wengine ni vinyago na mashetani
 
Musa aliamini mungu mmoja kama waislamu na musa hakuwahi kumshirikisha mungu eti mungu amezaliwa sijui ana mtoto na mama, na hiyo ndio basic principle ya uislamu na ukiangalia jews hawali nguruwe kama waislamu na vitu vingi nimeahaeka hapo juu kuhusu professor mmoja alifanya research akasema jews na muslims wapo na vitu vinavyofanan kuliko christians
Yaani nyie mnajichanganya.Mimi sijazungumzia ukristo hapo.Hoja yako umesema Jews wameacha sheria za Musa (Torati).Ambao ndiyo uislam wa leo.Kwamba Musa alikuwa muislam mwenzetu.Nimekuwekea hapo sheria(torati) inavyosema ambayo Musa aliishi,na Jews wanaiishi sasa ambapo ni tofauti kabisa na uislam.We unazungumzia sijui Musa alimhubiri MUNGU mmoja.Nimekuwekea hapo jina la MUNGU huyo mmoja wa Musa kwa mujibu wa torati ya Musa anaitwa YAHWEH,sio Allah.Huoni utofauti hapo?Hata wanaoabudu mizimu wanakuambia mungu wao ni mmoja,je nao ni waislamu wenzenu?Wahindi nao wanamtangaza mungu wao kuwa ni mmoja,nao ni waislamu wenzenu?Haya kwenye najisi hapo nnyi waislamu najisi yenu ni nguruwe tu.Ila ngamia kwenu sio najisi.Musa hajawahi kula ngamia maana torati imekataza.Sasa ni dini moja hiyo?Musa alikuwa mtunza sabato ambayo ni jumamosi,nyie mnaitunza?Sasa kwa akili yako mnafanana?Mimi ninachotaka ufahamu ni hiki;Musa hakuwa muislam,ili Musa awe Muislam basi waislamu wangekuwa wanaifuata torati.Achana na maneno ya eti uislamu unatangaza mungu mmoja na Torati unatangaza MUNGU mmoja,hao wanafanana!Taja jina la MUNGU wa Musa alilotajiwa na MUNGU kwenye torati.Anaitwa YAHWE,Kiarabu anaitwa YAWA sio Allah.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom