Recent content by Youngmuller

  1. Youngmuller

    WhatsApp imepata tatizo gani ?

    Kwangu mbona hakuna shda niwaazime simu yangu mfanye shughuli zenu au
  2. Youngmuller

    Natafuta mume mwema

    Tatizo huna kazi ningekuja pm Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Youngmuller

    Bayern Munich wamng'oa Lucas Hernandez kwa Euro Milioni 80

    Ametokea club gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Youngmuller

    Tupia chochote kinachokukera kwenye mapenzi

    Mm sipendi mwanamke kunipigiapigia simu kila dk maswali yenyewe ety ooooh umekula? Umekula nini khaaaa! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Youngmuller

    Jifunze kubana matumizi nyumbani

    Upuuzi tuu uliotukuka unapima chakula cha nini kwenye mizani ukitembelewa na wageni je Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Youngmuller

    Watanzania wenzangu tupunguze kuomba/kukopa kwa watu binafsi

    Unapigia promo tala wewe utakuwa ni wakala wao nimegundua ili tukope tala kama ni rafiki yangu au ndugu akinikopesha kuna shda gani wewe ni kibuyu kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Youngmuller

    Swali kwa wanawake

    Na gg kama zote huko Australia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Youngmuller

    Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Nasubiria mseme mnyamwezi mbona hamsemi maana nimenasa kwa toto la kinyamwezi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Youngmuller

    Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Kwa hyo na wewe unaleta tafiti zako ee tumwamini yupi sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Youngmuller

    Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

    Mambo ya nguvu za gizabhalafu unaweza kuhatarisha maisha unaweza kufa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Youngmuller

    Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

    Wadau haya mambo nimeshiriki sana kweli vitu vipo nimefika ktk eneo husika sema kutoa mzigo ni shughuli na mpaka niliamua kuacha kwasababu unapoteza muda mwingi na pesa kufuatilia but kuna eneo najua kuna mzigo ila kuchukua sasa ni kugumu nimekutana na huo.ugumu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Youngmuller

    Wanawake Warefu (Tall Women)

    Ni kweli mkuu mm nimeshuhudia na bado na date na m2 mrefu aisee parefu kama una kibamia utapata tabu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Youngmuller

    Wasanii na watu maarufu waliovuma enzi hizo kwa sasa wako wapi..?

    Soggy dog na ngoma yake kibanda cha simu cjui yupo wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Youngmuller

    Je, ni namna gani nzuri ya kushughulika na Watu wanaokutafuta wakiwa na shida ya fedha tu?

    Mm kuna hyo dada alikuwa na tabia kama hyo mbafuuuuuu!sana imenibidi nimblock aisee kwenye mitandao yote ya kijamii mwanzoni ckujua nilikuwa naingia kingi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Youngmuller

    Nataka kujenga, nina laki 5 mkononi

    Mkuu hela haitoshi halafu bado unataka tena ubakiwe na 5000 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom