Tupia chochote kinachokukera kwenye mapenzi

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,124
5,719
Mambo zenu kwangu mimi nachukia kama mtu hapokei simu yako halafu akipokea anaongea kwa kejeli kama mtu umemchoka mwambie mpo wengi watu wasipende kuchakazana.
Ila maisha ya nyakati hizi kuwa na mtu anayetambua yuko katika mahusiano niwachache sana.
Unakuta mtu anaenda disco mpaka now naanamiaka mingi 45 aisee hujaoa halafu no kids hata mmoja accidentally i mean bado unajishaua .
Unakejeli mdomo mchafu hujajenga nakama umejenga kanyumba basi tena nakagari kakuzugia yaani.
Unampa mtu presha nasio wakaka tu hata wadada unamkuta mtu anafamilia ila kuitunza tabu kulewa yeye kuwa na vibenten yeye kujishaua yeye napia anasahau majukumu kama mama .
So maisha yanachosha wale walioko serious na nyie .
Nakama umechoka ndoa yako sema nakama mahusiano yanakubugudhi also sema nimechoka tuishie hapa majirani wamelala niwewe vituko daily tumechoka bhana .
Kaa mwenyewe na maisha yako siye tusonge na yetu umekuja kama wengine nenda hivyo hivyo njia ile ile hujashikwa na mtu hujaletewa mabaunswa au defender ulazimishe kukaa ndani .
Wewe umri umesonga bado unajinadi bora diamond bado ni mdogo akijishaua sawa wewe mchovu naunajiona umo wewe Namba yako ni 0 namba moja nani akupe na mtu hukui ai jiendee zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh kuna walakini hapa...
mbona kama bango umentupia mtu hapa...
ok by the way,m sipendi mtu akiwa hana tention na ww pale mnapo zungumza au kuchat.
 
Mambo zenu kwangu mimi nachukia kama mtu hapokei simu yako halafu akipokea anaongea kwa kejeli kama mtu umemchoka mwambie mpo wengi watu wasipende kuchakazana.
Ila maisha ya nyakati hizi kuwa na mtu anayetambua yuko katika mahusiano niwachache sana.
Unakuta mtu anaenda disco mpaka now naanamiaka mingi 45 aisee hujaoa halafu no kids hata mmoja accidentally i mean bado unajishaua .
Unakejeli mdomo mchafu hujajenga nakama umejenga kanyumba basi tena nakagari kakuzugia yaani.
Unampa mtu presha nasio wakaka tu hata wadada unamkuta mtu anafamilia ila kuitunza tabu kulewa yeye kuwa na vibenten yeye kujishaua yeye napia anasahau majukumu kama mama .
So maisha yanachosha wale walioko serious na nyie .
Nakama umechoka ndoa yako sema nakama mahusiano yanakubugudhi also sema nimechoka tuishie hapa majirani wamelala niwewe vituko daily tumechoka bhana .
Kaa mwenyewe na maisha yako siye tusonge na yetu umekuja kama wengine nenda hivyo hivyo njia ile ile hujashikwa na mtu hujaletewa mabaunswa au defender ulazimishe kukaa ndani .
Wewe umri umesonga bado unajinadi bora diamond bado ni mdogo akijishaua sawa wewe mchovu naunajiona umo wewe Namba yako ni 0 namba moja nani akupe na mtu hukui ai jiendee zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Shida nini mama?? Mbona mi nshakwambia sintokupa presha hata kidogo jamani???

Any way lakin nahisi hili jiwe limetupwa gizani,
By the way mi ni born again ujue,,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendi pale nnapomtongoza demu halafu anaanza kuniuliza nafanya kazi gani?
Hivi hamnaga swali lingine?
Mfano wengine kazi zetu ni za siri nikikwambia kuwa nauzaga majeneza utanikubali?
Badirikeni mnaboa!

Sent from my Tecno y3 ya promosheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katoto kazuri leo umefikwa na masahiba gani mamii? kwanza unaandika kama unafukuzwa na mbwa wakali, halafu unaandika kwa hasira sana, kunani huko?
 
Back
Top Bottom