Swali kwa wanawake

Swali kwa wanawake

Elfu kumi inatosha bhana labda kama una familia kubwa sana.
Ila familia ya kawaida vya vyakula vyetu hivi vya kimasikini inatosha sana tu na change inabaki ya kibati ha!ha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamli nyama nyie kwenu? Maana kwa sisi Washana nyama ni kama ibada, deile lazma iwepo kwenye mlo.
 
Back
Top Bottom