Recent content by young zahabu

  1. young zahabu

    JamiiForums Tanzania China wafanikiwa kuzalisha nyani kwa cloning; na wasema inawezekana kuzalisha binadamu

    Atr sana mm ata sisemi langu jicho tuu
  2. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga mnada meno ya viboko

    SERIKALI imesema kuwa, Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) itafanya mnada wa hadhara wa meno ya viboko vipande 12,467 vyenye uzito wa kilo 3,580.29. Imesema mnada huo utakaosimamiwa na Wizara ya Fedha na Mipango umepangwa kufanyika Januari 29...
  3. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Tatu mzuka yazua gumzo Tanzania, Serikali yaombwa kuingilia kati suala hili yadaiwa eti ni matapeli

    Upo sahihi kiongozi hata mimi suala hili linanipa utata sana nashindwa kuelewa mshindi akitangazwa anaona kama hali ya kawaida tu et anasema asante hata kushangilia hamna huu si wizi wa kimawazo na fedha kwel?
  4. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Tatu mzuka yazua gumzo Tanzania, Serikali yaombwa kuingilia kati suala hili yadaiwa eti ni matapeli

    Nimekuwa nikisikia clouds fm wakitangaza mchezo mpya wa kamali wanauita tatu mzuka, wao wanagenerate namba tatu ktk system yao na wewe mchezaji inabidi uchague namba 3 kutoka katika namba 10 mfano kama namba ya bahati ni 121 basi ili ushinde inakubidi kutoka katika namba 0 mpaka 9 uchague namba...
  5. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya wanawake wanapopishana mmoja wao kusoma plate number

    Mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
  6. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kaolewa mwaka wa tatu sasa mume ni muhuni, anamnyanyasa na anafukuza

    Mwache akae kwake bwana sio lazima afate matakwa yenu nyie inampasa afate mawazo yake pekee
  7. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Siha, Godwin Aloyce Mollel(CHADEMA) ajivua wadhifa huo na kuhamia CCM

    atr Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  8. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Nimuoe anayenipenda au ninayempenda?

    mi naona ni heri B
  9. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni wake za watu wanakuwa maji mara moja?

    duuuu sisemi sana ila ??????? #tuwaombee tuu
  10. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi Wanaume wengi tunachekwa sana Vitandani

    duuuuuu kwa hili basi asilimia nyingi ya wadau tunafanya work done zero hii ni kutokana na kukosa maandalizi mazr kabla ya tendo husika ikiwemo kisiokologia ww na mwenzako ambo mnafanya tendo hilo pia inawezekana zipo sehem muhimu ambazo unapaswa kuzigusa na hafanikiwi kuzigusa hii ni kutokana...
  11. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    atr sana
  12. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Shigongo ajiunga Chuo Kikuu kuanza Shahada ya kwanza..

    we vp ulitakaje akili utumii nn? Elimu haina mwisho
  13. young zahabu

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimegungua Adolf Hitler alikuwa ni mtu mwenye huruma sana kwa binadamu wenzie

    ata mmm nilishangaa sana mkuu hili jambo la kuchoma vifaranga ila nilikuwa nawaza watu wa haki za wanyama wapo wapi?????
Back
Top Bottom