fademark
Member
- Aug 24, 2011
- 36
- 24
Hivi kwani ni makosa kuunga mkono jitihada chanya za chama tawala ukiwa chama pinzani?
Sent from my Hol-U19 using JamiiForums mobile app
Sent from my Hol-U19 using JamiiForums mobile app
Unaweza ku-specify sera gani wazibadilishe, au mwenendo gani? Ukweli wa wimbi hili si kwamba kuna tatizo la sera CHADEMA. Zera ni zile zile zilizomfanya huyu Mollel akachaguliwa kuwa mbunge na wala mwenendo wa chama haujabadilika.Chadema wafanyie marekebisho sera zao na Mwenendo wao haiwezekani kila Mbunge awe amenunuliwa
Nyinyi ndio hamtaki kushirikisha ubongo wenu, na matokeo yake Mbowe amewageuza mmekuwa makarai halisi.shirikisha ubongo wako mkuu,jiulize wanaohama ni viongozi tu muhimu mbona sisi wanachama hatuhami hao wote pesa imewapenda zaidi ,na cdm hakuna kubadili mwenyekiti mpaka tuone mwsho wa huu uhuni wa ccm
Ha ha haaa... Huyu ndo yule mvulana wa lastweek???
Nyinyi ndio hamtaki kushirikisha ubongo wenu, na matokeo yake Mbowe amewageuza mmekuwa makarai halisi.
Inaonekana hufuatilii habari za nchi hii kwa undani, ndio maana hufahamu kuwa na wanachama wengi wamekuwa wakihama kutoka chama kimoja kwenda kingine.
Hata sugu tumezungumza naye anakaribia kurudi ccm
Nipe namba yako nikutumie na gu video kabisa..Weka mzungumzo yenu na yeye hapa acha kutoa mapofu tu!