Recent content by Young jay

  1. Y

    Pemba sasa si Shwari tena: Vifaru vimeanza kuranda maeneo ya mji wa Chake Chake Pemba

    Umeshasema kuwa yeye ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama sas ni jukumu lake kusimamia amani na ulinzi
  2. Y

    Rais Magufuli afanya ziara Benki Kuu, aongea na uongozi

    Eee mungu mjalie Raisi wetu awr na afya njema na aendelee na kazi yake ya kutumbua majipu ili inchi yetu ifike pazuri nakuomba mh magufuli utembelee wizara nyingine zipo nyingi sana na kuna madudu zaidi ya hayo
  3. Y

    Hivi ni Kwanini Wanajeshi...

    Siku zote katika medani ya kivita au muundo wa kivita wapiganaji ni askari na sio maofisa sasa we unataka wawe wapole ili iweje uwashike matoko au lazma wawe wakorofi ili kuweza kuhimili mapambano hata katika vita
  4. Y

    Wazanzibar acheni unafiki na ndumilakuwili

    Kwani ww unavyoona APc na kifaru ni sawa ebu uliza vizur tofauti halafu ndo ubishane
  5. Y

    Wazanzibar acheni unafiki na ndumilakuwili

    Ndugu bado sana hujakuwa kiakili ni askari gani wa tanganyika wamekuja huko mm navyofahamu askari wa tanganyika ambao wanzanzibari hawapo ni magereza pekee je niambie magereza huko wapo na kama polisi basi ni mchanganyiko ya wazanzibar na watanganyika vile vile jeshi ni wazanzibar na...
  6. Y

    Live Updates:Stand United VS Simba

    Mkuu umekosea kiemba hayupo simba bhana ni mkude labda huyo
  7. Y

    Mchezaji wa klabu ya Simba, Mwinyi Kazimoto amshambulia mwandishi wa habari

    Mwinyi kazimoto hana tabia hiyo kwanza ananidhamu sana ya kazi yake kama alivyokuwa jeshini bado kuna namna tu hapo na huyo mwandishi na akikuzingua tena mwinyi tumia ukamanda wako kuonyesha ww ni kamanda na huna makuu tu
  8. Y

    Wazanzibar acheni unafiki na ndumilakuwili

    Unaushahidi gan kwamba watanganyika wameingilia maamuz ya wazanzibar katika uchaguz kwan akiyefuta uchaguz ni mtanganyika ni nyie kwa nyie ttzo nyie mna kitu upemba na uunguja ndo vinavyowatesa mkiondoa hvyo basi mtaishi kwa amani kabisa
  9. Y

    Wazanzibar acheni unafiki na ndumilakuwili

    Haka kawilaya cha zanzibr cc wabongo bora tungewaachia wenyewe wapigane sababu hatuna faida nacho hakana msaada wowote na sisi wabongo land zaid ya kututia hasara tu kwanza ningependa serikali iseme kila mtu arudi kwao mpemba kwao mtanganyika kwao na hakuna kuchukua kitu ondoka kama ulivyo kama...
  10. Y

    Wazanzibar acheni unafiki na ndumilakuwili

    Hakuna kitu kama hicho wabara wanavuruga mambo ya zanzibar kwa kigezo kipi ulichokuwa nacho tuambie
  11. Y

    Wanaume acheni kuhonga wanawake, jenga nyumba

    Asante mkuu kwa mawazo mazuri naushauri mzuri kwa wanaume
  12. Y

    Wazanzibar acheni unafiki na ndumilakuwili

    Wazanzibar wanafiki swala la uchaguz JPM anahusika swala la mafuta lakwao basi na uchaguz lakwao vile vile wamalizane wenyewe kwanza wakileta za kuleta umeme tutawakatia watumie wakwao kila mtu si nachake
  13. Y

    Membe apinga kufutwa uchaguzi wote Zanzibar

    Nini kirefu cha KMKM mkuu hilo ni tamko wanapenda kujiita tu ili nao waonekane kuwa jeshi
  14. Y

    Membe apinga kufutwa uchaguzi wote Zanzibar

    Zanzibar haina jeshi lake mkuu naomba tukuweke sawa jeshi n moja tu jwtz je niambie zanzibar wana jeshi lake lipi
Back
Top Bottom