OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,015
- 114,360
Wakuu Mnyama hatari mda huu unakipiga na Stand United ligi kuu ya Vodacom.Nipo hapa Kambarage(kati ya viwanja vilivyoporwa na CCM) kuwaletea mtanange.Simba 2:Stand 0,Ng'we ya pili.Simba watisha