Kuanzia no8 Hao ndio watekelezaji wa amri, na ndio wanaokabiliana na adui face to face (front line) nahisi hiyo tabia inatokana na mafunzo wanayopewa.Wenye Vyeo Vya Kuanzia Second Lieutenant Hadi Cheo Cha General Huwa Ni:
Na Wenye Vyeo Vya UGOKONI Kuanzia Private Hadi Warrant Officer Huwa Ni:
- Wastaarabu
- Wana Hekima
- Wanajitambua
- Wakarimu Na Marafiki Wazuri
- Hawana Makuu Wala Dharau
- Wana Nidhamu ILIYOTUKUKA
- Hawana Uhuni Na Siyo MALAYA
- Wagomvi Hasa Mitaani
- Wababe Wa Kipuuzi
- Hata Ukikaa Nao Kijiweni Hakuna Madini Wanayoyatoa Katika Vichwa Vyao
- Wana Matumizi Mabaya Ya PESA
- Omba Omba Sana Pindi Wakiishiwa
- Hawapendi Kujiongeza KIELIMU
- Wanapenda Mno SIFA, Wana DHARAU Na Wanapenda Kuogopwa Na Raia
Una balaa wewe, humpati mtu huku.nadhani huyo uliyempa nakosi ni mkata majani ya ng'ombe wa Afande,si unajua wakiwa mitaani wanajifanya nao ni wale wale,sasa umemuokota kwenye kibanda chenu cha wanzuki ndio unakuja kutamba hapa.Na Ugomvi Wangu Mkuu Na Huyu MJEDA Niliyempa " NAKOZ " Za Kufa Mtu Ni Kitendo Chake Cha Kumpiga KIBAO Mshikaji Wangu Kisa Wanagombania DEMU Ndipo Nikamwambia Kijana Kuwa Akae Pembeni NIMFUNDISHE MTU ADABU Na Hakika Cha Moto KAKIONA. Halafu Nasikia Alivyoenda Kambini Kwao Kawaambia MASELA Wake Ili WAJE KITAA USIKU Leo Wanivizie Na Mimi Pia Nikatoa TAARIFA Huko Huko Kupitia MSHIKAJI Wangu MJEDA Mwenzao Kuwa Hata WAKIJA KUNDI KWANGU ILA WAKAE WAKIJUA KUWA VITA YA MKURYA HUWA HAIISHI LEO WALA KESHO Na Wakifanya MZAHA Hata Hiyo Kambi Yao INAWEZA IKAHAMA Hapo Kwa FUJO Zangu Za KUTUKUKA. Halafu Viaskari Vyenywe Ni Vidogo Lakini Vina SIFA KWELI Mkuu. Mbona WAKUBWA Zao Wengi Ni Washikaji Zangu Na Tunaheshimiana Iweje Hivi Vitoto Vya Juzi Vimefundishwa Tu Kugalagala Chini, Kuruka Vihunzi, Kutambaa Kama Mjusi Pori Katika Kamba, Kufyeka Hapo Lugalo, Kuruka Sarakasi Na Kufyagia Makambini Leo WAJIFANYE Wao Ndiyo JESHI KAMILI?
Umpige mwanajeshi halafu ubaki salama? Thubutuuuu! Labda umekumbana na wale wanaovaa nguo za jeshi kwa wizi! Nakuapia ungegusa mjeda halisi sasa hivi ungekuwa unajambia mdomoni!Mimi Hivi Ninavyokuambia Ndiyo Natoka Kuwekewa Dhamana Kwani Kuna Mmoja " Kajipendekeza " Na Mikwara Yake Ya " DRILLS " Zao Nikamwambia Kuwa Kuzaliwa Tu Mtu Wa Mkoa Wa MARA Tayari Kijeshi Wewe Ni PRIVATE Wa Jeshi Hivyo Nilichomfanyia Atawasimulia Wenzake Halafu Bahati Nzuri au Sijui Mbaya Nilimpompa SALAMU Za Wana Mkoa Wa MARA KIMAPIGANO Nikamwambia Naenda Tena KUMSHTAKI Kwa Wakubwa Zake Ili Pia Huko OFISINI Kwake " KINUKE " Hasa Ukizingatia Kuwa Tangia Enzi Na Enzi Maana Iliyo Wazi Ya JWTZ Ni " JESHI LA WAKURYA TOKA ZAMANI " Najua Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu Na Warangi Kwa WIVU Wao Watakataa Ila Ndiyo Ukweli Wenyewe.
Mwisho Nitoe Tu RAI Kwa WAKUU WA HAWA WANAJESHI HEBU JARIBUNI KUWAFUNDISHA NIDHAMU NA MUWAAMBIE KUWA HUKU MITAANI KUNA WATU WANA MAFUNZO YA KIMAPIGANO YALIYOTUKUKA KULIKO HATA HAYO MNAYOWAPA ILA TUNAWAHESHIMU TU NA KAMWE WASIJE KUTUDHARAU VINGINEVYO WAKIENDELEA NA HIZI TABIA ZAO ZA KIBABE HAKIKA TUTAKUWA TUNAWAPIGA KILA UCHAO. Pole Sana Wewe Mwanajeshi NILIYEKUPIGA ILA SIKU NYINGINE USIMPIME MTU KWA KUMUANGALIA TU KWANI WENGINE TULILETEWA MAOMBI YA KWENDA KUMFUNDISHA NGUMI BONDIA FLOYD MYWETHER ILA HARAKATI ZA MAISHA ZILINIZUIA KWENDA ILA HATA HIVYO NI JANA TU NIMEPOKEA MAOMBI YA KWENDA KUMPA MAZOEZI YA AWALI YA KUNG FU NA KARATE Muigizaji SINEMA MAARUFU DUNIANI Jack Chan Kabla Hajaanza Shooting Ya Video Yake Mpya. Na Hicho KIPIGO Nilichokupa Nilitumia Tu Mbinu Za Mwaka 1996 Sijui KAMA Ningesema Nitumie Hizi Mbinu Mpya Za 2016 Kama Ungeamka Leo!
Afande Super Handsome Jaribu Kuwafundisha Vizuri WANAJESHI Wak Namna Ya Kuishi Vizuri Mitaani Na Sisi RAIA MASELA.
Umpige mwanajeshi halafu ubaki salama? Thubutuuuu! Labda umekumbana na wale wanaovaa nguo za jeshi kwa wizi! Nakuapia ungegusa mjeda halisi sasa hivi ungekuwa unajambia mdomoni!
Una balaa wewe, humpati mtu huku.nadhani huyo uliyempa nakosi ni mkata majani ya ng'ombe wa Afande,si unajua wakiwa mitaani wanajifanya nao ni wale wale,sasa umemuokota kwenye kibanda chenu cha wanzuki ndio unakuja kutamba hapa.
Yaonekana wazi kuwa unahasira sana za kugongewa mke hakika hujampiga huyo mjeshi labda mlizozana tu kinyume cha hapo ingeshapigwa ambush ya maana hapo kitunda kwako na uache misifaNenda Hapo Lugalo Kwenu Hospitali Kamtembelee MJEDA Mwenzio Kwani Kwa Kichapo Nilichompa Asipopata UKILEMA Wa Maisha Naacha RASMI Kushabikia Klabu Yangu Kipenzi Ya Liverpool FC. Kachezea Mno " Vitasa " Na Kamwaga Sana " Grisi ". Chezea MKURYA Weye?
Hizi nazo ni sifa za kitoto,,mtu yeyote mstaarabu hana muda wa mambo hayo ya kipuuzi,,kwanza ugomvi unakuongezea shilingi ngapi kwa siku?Mimi Hivi Ninavyokuambia Ndiyo Natoka Kuwekewa Dhamana Kwani Kuna Mmoja " Kajipendekeza " Na Mikwara Yake Ya " DRILLS " Zao Nikamwambia Kuwa Kuzaliwa Tu Mtu Wa Mkoa Wa MARA Tayari Kijeshi Wewe Ni PRIVATE Wa Jeshi Hivyo Nilichomfanyia Atawasimulia Wenzake Halafu Bahati Nzuri au Sijui Mbaya Nilimpompa SALAMU Za Wana Mkoa Wa MARA KIMAPIGANO Nikamwambia Naenda Tena KUMSHTAKI Kwa Wakubwa Zake Ili Pia Huko OFISINI Kwake " KINUKE " Hasa Ukizingatia Kuwa Tangia Enzi Na Enzi Maana Iliyo Wazi Ya JWTZ Ni " JESHI LA WAKURYA TOKA ZAMANI " Najua Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu Na Warangi Kwa WIVU Wao Watakataa Ila Ndiyo Ukweli Wenyewe.
Mwisho Nitoe Tu RAI Kwa WAKUU WA HAWA WANAJESHI HEBU JARIBUNI KUWAFUNDISHA NIDHAMU NA MUWAAMBIE KUWA HUKU MITAANI KUNA WATU WANA MAFUNZO YA KIMAPIGANO YALIYOTUKUKA KULIKO HATA HAYO MNAYOWAPA ILA TUNAWAHESHIMU TU NA KAMWE WASIJE KUTUDHARAU VINGINEVYO WAKIENDELEA NA HIZI TABIA ZAO ZA KIBABE HAKIKA TUTAKUWA TUNAWAPIGA KILA UCHAO. Pole Sana Wewe Mwanajeshi NILIYEKUPIGA ILA SIKU NYINGINE USIMPIME MTU KWA KUMUANGALIA TU KWANI WENGINE TULILETEWA MAOMBI YA KWENDA KUMFUNDISHA NGUMI BONDIA FLOYD MYWETHER ILA HARAKATI ZA MAISHA ZILINIZUIA KWENDA ILA HATA HIVYO NI JANA TU NIMEPOKEA MAOMBI YA KWENDA KUMPA MAZOEZI YA AWALI YA KUNG FU NA KARATE Muigizaji SINEMA MAARUFU DUNIANI Jack Chan Kabla Hajaanza Shooting Ya Video Yake Mpya. Na Hicho KIPIGO Nilichokupa Nilitumia Tu Mbinu Za Mwaka 1996 Sijui KAMA Ningesema Nitumie Hizi Mbinu Mpya Za 2016 Kama Ungeamka Leo!
Afande Super Handsome Jaribu Kuwafundisha Vizuri WANAJESHI Wak Namna Ya Kuishi Vizuri Mitaani Na Sisi RAIA MASELA.
af uctake kuwatisha wa2 kuwaogopa wakurya, wakurya sifa yao kubwa ni wakorofi2 na kutumia mapanga na hawajashindikana kupigika. Hapa hakuna cha kabila wala nini,kama ni dep kila kabila linaweza kwenda dep na inajulikana waz aliemaliza dep anakua na sifa gan. Na ucjipe moyo et kama ulimpiga fulan unawaweza wote angalia ucje ukasoteshwa mpaka uwaone wanajesh kama simba wa mwituni. Na kama binadam 2ngekua bidhaa bas bidhaa ngumu ingekua ni ile iliopitia makutopola au msata...Halafu UONE Kuwa NINAKUBALIKA Humu SIJAWAHI Kuanzisha UZI Usichangamkiwe Na Usichangiwe Na Members. Sasa Wewe Ukisema Niufute Wenzako " Wanatiririka " Nao Tu. Huyu Ndiyo " Le Mathematicien GENTAMYCINE " Nawachezesha Ninavyotaka Huku Mkini Follow. au Hujui Mkuu Kuwa Kuna Members Humu WAKIAMKA Tu Asubuhi Kwanza Wanaangalia MWANAMUME Nime Post Nini au Nimeanzisha UZI Gani. KUKUBALIKA Na KUPENDWA JF Napo Ni " NYOTA " Lakini Pia Inaonyesha Jinsi Gani " UNAKUBALIKA ". Sasa Anzisha Wewe UZI Wako Uone Kama Watu " Wataukodolea " au " Kutiririka " Nao. Na Hapa Nimekuchokoza Makusically Kabisa Ili UHAMAKI Halafu Unijibu Hovyo Nikumalize Na Moja Tu UKAPUMZIKE Nalo. Sasa Hivi Kichwa Kimeshachangamka Na Bidhaa Adimu Ya Tarime, Longido, Makambako Na Lilongwe!
Wewe jamaa leo umekuwa MKURYA, baadae utasema ni MTUTSI.Mimi Hivi Ninavyokuambia Ndiyo Natoka Kuwekewa Dhamana Kwani Kuna Mmoja " Kajipendekeza " Na Mikwara Yake Ya " DRILLS " Zao Nikamwambia Kuwa Kuzaliwa Tu Mtu Wa Mkoa Wa MARA Tayari Kijeshi Wewe Ni PRIVATE Wa Jeshi Hivyo Nilichomfanyia Atawasimulia Wenzake Halafu Bahati Nzuri au Sijui Mbaya Nilimpompa SALAMU Za Wana Mkoa Wa MARA KIMAPIGANO Nikamwambia Naenda Tena KUMSHTAKI Kwa Wakubwa Zake Ili Pia Huko OFISINI Kwake " KINUKE " Hasa Ukizingatia Kuwa Tangia Enzi Na Enzi Maana Iliyo Wazi Ya JWTZ Ni " JESHI LA WAKURYA TOKA ZAMANI " Najua Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu Na Warangi Kwa WIVU Wao Watakataa Ila Ndiyo Ukweli Wenyewe.
Mwisho Nitoe Tu RAI Kwa WAKUU WA HAWA WANAJESHI HEBU JARIBUNI KUWAFUNDISHA NIDHAMU NA MUWAAMBIE KUWA HUKU MITAANI KUNA WATU WANA MAFUNZO YA KIMAPIGANO YALIYOTUKUKA KULIKO HATA HAYO MNAYOWAPA ILA TUNAWAHESHIMU TU NA KAMWE WASIJE KUTUDHARAU VINGINEVYO WAKIENDELEA NA HIZI TABIA ZAO ZA KIBABE HAKIKA TUTAKUWA TUNAWAPIGA KILA UCHAO. Pole Sana Wewe Mwanajeshi NILIYEKUPIGA ILA SIKU NYINGINE USIMPIME MTU KWA KUMUANGALIA TU KWANI WENGINE TULILETEWA MAOMBI YA KWENDA KUMFUNDISHA NGUMI BONDIA FLOYD MYWETHER ILA HARAKATI ZA MAISHA ZILINIZUIA KWENDA ILA HATA HIVYO NI JANA TU NIMEPOKEA MAOMBI YA KWENDA KUMPA MAZOEZI YA AWALI YA KUNG FU NA KARATE Muigizaji SINEMA MAARUFU DUNIANI Jack Chan Kabla Hajaanza Shooting Ya Video Yake Mpya. Na Hicho KIPIGO Nilichokupa Nilitumia Tu Mbinu Za Mwaka 1996 Sijui KAMA Ningesema Nitumie Hizi Mbinu Mpya Za 2016 Kama Ungeamka Leo!
Afande Super Handsome Jaribu Kuwafundisha Vizuri WANAJESHI Wak Namna Ya Kuishi Vizuri Mitaani Na Sisi RAIA MASELA.
Wewe polisi uliwahi kukanyaga monduli au ulihadithiwa tu?Hoja hapa sio elimu zao bali ni mfumo wa mafunzo mpaka kuipata hiyo nyota moja na kuendelea.
kijana pale TMA ni nidhamu na utiifu kwanza mengine yanafuata, ukikata kiuno tu koplo mkufunzi akikulala mikia,kwa wakubwa ujue ushaikosa.
Ukishaipata pia ukaleta maseke kitaa ujue ya pili na kuendelea itakuwa afadhari waweke kwenye magari yao kuliko kukupa wewe popoma.
Dogo, kuna watu wana vitambulisho kama saba hivi na vyote ni hai.Wewe polisi uliwahi kukanyaga monduli au ulihadithiwa tu?