imekuchoma ngumu kumeza.wezi nyie wa fikra za wazanzibar.Jifunze kwanza kuandika vizuri kabla hujavamia hoja ambazo kwenye fikra zako ni kama usiku wa giza!
Ni ushauri tu!
Yes, wana Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Tume huru ya Uchaguzi!Wazenji wamewapotezea nyinyi tawaleni tu. Kikubwa amani na msosi
Unafiki na undumila kuwili kwa sasa umewaumbua. Mlificha magonjwa kwa unafiki na sasa kifo cha serikali ya umoja wa kitaifa kinawaumbua.
Mlimtumia Abubakar Khamis Bakary Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni kuwasilisha hoja binafsi kulitaka Baraza la Wawakilishi kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu kuanzishwa kwa Mfumo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Hoja hiyo, ilikubaliwa na Baraza la Wawakilishi na kupelekea kutungwa kwa Sheria ya Kura ya Maoni Nam 6, 2010.
Mliamua kujifungia kwenye vyumba vya siri bila kuwashirikisha wananchi wa Tanzania Bara na mkafikia makubaliano ya kinafiki ya kubadilisha katiba yenu kwenye Sura ya Kwanza, Sehemu ya Kwanza ambayo kwa sasa inasema, Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za kisheria nchini kote na isipokuwa kutokana na kifungu 80 ikiwa sheria yoyote inatofautiana na Katiba hii, basi Katiba hii ndiyo itayokuwa na nguvu na sheria hiyo itakuwa batili kwa kiwango kile ambacho kinahitilafiana.
Mbaya zaidi, kwa kupitia katiba yenu ya kinafiki mkatuaminisha kinafiki kuwa Tume ya Uchaguzi kwa sasa ni huru na inayojitegemea katika kutekeleza majukumu yake kupitia Kifungu cha 119 (13) kwa sababu ina wajumbe WANNE waliopendekezwa na vyama vya CUF na CCM. Mjumbe MMOJA aliyependekezwa na Rais. Jaji MMOJA aliyependekezwa na Mahakama Kuu na pia Mwenyekiti aliyeteuliwa na Rais kwa kadri anavyoona inafaa.
Mkasema wazi katika kifungu cha 119(13) kuwa: “Hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza jambo lolote lililotendwa na Tume ya Uchaguzi katika kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba”.
Hamkuishia hapo, mkatuambia kupitia Kifungu cha 119(4), kuwa pindi Mjumbe wa Tume anapoteuliwa, hakuna mtu/kiongozi mwenye mamlaka ya kumuondoa au kumfukuza Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi mpaka atakapotimiza miaka mitano tokea kuteuliwa kama Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi.
Tume ya Uchaguzi mkaifanya kama Jini ndani ya chupa, kwa sasa limetoka na hamuwezi kulirudisha ndani ya chupa! Mmebaki kulaumiana kuhusu nani aliyelitoa jini kwenye chupa!
Mkatuambia mmechoka kufanyiwa maamuzi na watu wa Tanganyika na kuanzia sasa vyenu ni vyenu wakati wa raha lakini wakati wa shinda, vyenu ni vyetu. Tuliwaambia haiwezekani vyenu viwe ni vyenu pekee wakati wa raha lakini wakati wa shida, vyenu viwe vyetu.
Mkasema Watanzania Bara wanachochea mtengane lakini kwa sasa mmeamua kushikamana. Tuliwaambia hiyo ndoa yenu haitadumu lakini mkabisha. Yamefika wapi?
Unafiki na undumila kuwili kwa sasa unawatafuna!
Maji mliyavulia nguo mkiwa mmejifungia ndani ya chumba cha siri, hamna budi vile vile kuyaoga.
What's your point?
Yaani wao wanaikumbuka Katiba ya Tanzania kama wana matatizo lakini wakiwa na furaha, wanadai Katiba ya Zanzibar iko juu ya sheria zote za Tanzania.Wakiwa na raha, wanajifanya hawautak muungano
Absolutely.HAPANA!!! Mchawi wa Wazanzibar ni Wazanzibar wenyewe!
''Tume ya Uchaguzi mkaifanya kama Jini ndani ya chupa, kwa sasa limetoka na hamuwezi kulirudisha ndani ya chupa!
HIVI Dhumuni La Kuweka Huu UZI Hapa!!!? KWANI Mleta UZI Haujui Kuwa Ni KWELI VIONGOZI Kutoka BARA Ndio Chanzo Cha Mitifuano Kule Visiwani!!!!?? WW Kwa Fikra Zako CCM ZANZIBAR Wanaweza Kuamua Au Kufanya Maamuzi Yoyote Bila Ya CCM Bara Na Taifa Kuridhia!!?? JUU Ya KATIBA Yao Kuifanyia Marekebisho Hiyo Ni Haki Yao Kikatiba, Kwani Zanzibar Ni Nchi, Na Hawakukubali Kuufuta Uzanzibar Na Utaifa Wao!! Hivyo Kufanya Marekebisho Yao Ya Kuunda Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa, Si Lazima Ww Wa BARA KUTOA MAONI YAKO!! Wazanzibar Wenyewe NDIO WALIOTAKIWA Kutoa MAONI Yao, Kama WANAKUBALI Au WANAKATAA!! PIA Suala La TUME Huru Ya UCHAGUZI, Ni Suala Zuri La Kulipongeza, Kwani Kwa Muundo Wa Tume Hiyo Ndio Ule Mchezo Mchafu Uliyokuwa Ukidaiwa Kufanyika Na Upande Fulani Umeshindwa Kufanyika 2015!! MATOKEO Yake Wamemtumia Jecha Kufuta MATOKEO Yaliokamilika!!! HIVYO Hilo Kwao Ni Suala Muhimu Na La Kupongezwa!! HUKU BARA Mbona Tumeshindwa Kupata, TUME Walau Hiyo Unayoiponda!!!! SIDHANI Kama Ni UNAFIKI Na UNDUMILAKUWILI!! Bali Ni Moja Ya Hatua Nzuri Ya Kujenga Umoja Wao!! TATIZO Ni WABARA, Ndio Wanaoivuruga Zanzibar, Na Wenyewe Wameshalijua Hilo!!!!Unafiki na undumila kuwili kwa sasa umewaumbua. Mlificha magonjwa kwa unafiki na sasa kifo cha serikali ya umoja wa kitaifa kinawaumbua.
Mlimtumia Abubakar Khamis Bakary Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni kuwasilisha hoja binafsi kulitaka Baraza la Wawakilishi kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu kuanzishwa kwa Mfumo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Hoja hiyo, ilikubaliwa na Baraza la Wawakilishi na kupelekea kutungwa kwa Sheria ya Kura ya Maoni Nam 6, 2010.
Mliamua kujifungia kwenye vyumba vya siri bila kuwashirikisha wananchi wa Tanzania Bara na mkafikia makubaliano ya kinafiki ya kubadilisha katiba yenu kwenye Sura ya Kwanza, Sehemu ya Kwanza ambayo kwa sasa inasema, Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za kisheria nchini kote na isipokuwa kutokana na kifungu 80 ikiwa sheria yoyote inatofautiana na Katiba hii, basi Katiba hii ndiyo itayokuwa na nguvu na sheria hiyo itakuwa batili kwa kiwango kile ambacho kinahitilafiana.
Mbaya zaidi, kwa kupitia katiba yenu ya kinafiki mkatuaminisha kinafiki kuwa Tume ya Uchaguzi kwa sasa ni huru na inayojitegemea katika kutekeleza majukumu yake kupitia Kifungu cha 119 (13) kwa sababu ina wajumbe WANNE waliopendekezwa na vyama vya CUF na CCM. Mjumbe MMOJA aliyependekezwa na Rais. Jaji MMOJA aliyependekezwa na Mahakama Kuu na pia Mwenyekiti aliyeteuliwa na Rais kwa kadri anavyoona inafaa.
Mkasema wazi katika kifungu cha 119(13) kuwa: “Hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza jambo lolote lililotendwa na Tume ya Uchaguzi katika kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba”.
Hamkuishia hapo, mkatuambia kupitia Kifungu cha 119(4), kuwa pindi Mjumbe wa Tume anapoteuliwa, hakuna mtu/kiongozi mwenye mamlaka ya kumuondoa au kumfukuza Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi mpaka atakapotimiza miaka mitano tokea kuteuliwa kama Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi.
Tume ya Uchaguzi mkaifanya kama Jini ndani ya chupa, kwa sasa limetoka na hamuwezi kulirudisha ndani ya chupa! Mmebaki kulaumiana kuhusu nani aliyelitoa jini kwenye chupa!
Mkatuambia mmechoka kufanyiwa maamuzi na watu wa Tanganyika na kuanzia sasa vyenu ni vyenu wakati wa raha lakini wakati wa shinda, vyenu ni vyetu. Tuliwaambia haiwezekani vyenu viwe ni vyenu pekee wakati wa raha lakini wakati wa shida, vyenu viwe vyetu.
Mkasema Watanzania Bara wanachochea mtengane lakini kwa sasa mmeamua kushikamana. Tuliwaambia hiyo ndoa yenu haitadumu lakini mkabisha. Yamefika wapi?
Unafiki na undumila kuwili kwa sasa unawatafuna!
Maji mliyavulia nguo mkiwa mmejifungia ndani ya chumba cha siri, hamna budi vile vile kuyaoga.
HIVI Dhumuni La Kuweka Huu UZI Hapa!!!? KWANI Mleta UZI Haujui Kuwa Ni KWELI VIONGOZI Kutoka BARA Ndio Chanzo Cha Mitifuano Kule Visiwani!!!!?? WW Kwa Fikra Zako CCM ZANZIBAR Wanaweza Kuamua Au Kufanya Maamuzi Yoyote Bila Ya CCM Bara Na Taifa Kuridhia!!?? JUU Ya KATIBA Yao Kuifanyia Marekebisho Hiyo Ni Haki Yao Kikatiba, Kwani Zanzibar Ni Nchi, Na Hawakukubali Kuufuta Uzanzibar Na Utaifa Wao!! Hivyo Kufanya Marekebisho Yao Ya Kuunda Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa, Si Lazima Ww Wa BARA KUTOA MAONI YAKO!! Wazanzibar Wenyewe NDIO WALIOTAKIWA Kutoa MAONI Yao, Kama WANAKUBALI Au WANAKATAA!! PIA Suala La TUME Huru Ya UCHAGUZI, Ni Suala Zuri La Kulipongeza, Kwani Kwa Muundo Wa Tume Hiyo Ndio Ule Mchezo Mchafu Uliyokuwa Ukidaiwa Kufanyika Na Upande Fulani Umeshindwa Kufanyika 2015!! MATOKEO Yake Wamemtumia Jecha Kufuta MATOKEO Yaliokamilika!!! HIVYO Hilo Kwao Ni Suala Muhimu Na La Kupongezwa!! HUKU BARA Mbona Tumeshindwa Kupata, TUME Walau Hiyo Unayoiponda!!!! SIDHANI Kama Ni UNAFIKI Na UNDUMILAKUWILI!! Bali Ni Moja Ya Hatua Nzuri Ya Kujenga Umoja Wao!! TATIZO Ni WABARA, Ndio Wanaoivuruga Zanzibar, Na Wenyewe Wameshalijua Hilo!!!!
Kweli mtoa mada amewananga wazenji!Mtoa mada huna hoja zaidi ya chuki zako tu kwa wazanzibar,adui wa wazanzibar tayari amekwisha fahamika,letenina majeshi na vifaru mtuuwe sote lakini huku zanzibar haturudi nyuma kudai haki ya maamuzi yetu ya tarehe 25-10-2015 iliyoporwa na mkoloni.
Hakuna kitu kama hicho wabara wanavuruga mambo ya zanzibar kwa kigezo kipi ulichokuwa nacho tuambieHIVI Dhumuni La Kuweka Huu UZI Hapa!!!? KWANI Mleta UZI Haujui Kuwa Ni KWELI VIONGOZI Kutoka BARA Ndio Chanzo Cha Mitifuano Kule Visiwani!!!!?? WW Kwa Fikra Zako CCM ZANZIBAR Wanaweza Kuamua Au Kufanya Maamuzi Yoyote Bila Ya CCM Bara Na Taifa Kuridhia!!?? JUU Ya KATIBA Yao Kuifanyia Marekebisho Hiyo Ni Haki Yao Kikatiba, Kwani Zanzibar Ni Nchi, Na Hawakukubali Kuufuta Uzanzibar Na Utaifa Wao!! Hivyo Kufanya Marekebisho Yao Ya Kuunda Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa, Si Lazima Ww Wa BARA KUTOA MAONI YAKO!! Wazanzibar Wenyewe NDIO WALIOTAKIWA Kutoa MAONI Yao, Kama WANAKUBALI Au WANAKATAA!! PIA Suala La TUME Huru Ya UCHAGUZI, Ni Suala Zuri La Kulipongeza, Kwani Kwa Muundo Wa Tume Hiyo Ndio Ule Mchezo Mchafu Uliyokuwa Ukidaiwa Kufanyika Na Upande Fulani Umeshindwa Kufanyika 2015!! MATOKEO Yake Wamemtumia Jecha Kufuta MATOKEO Yaliokamilika!!! HIVYO Hilo Kwao Ni Suala Muhimu Na La Kupongezwa!! HUKU BARA Mbona Tumeshindwa Kupata, TUME Walau Hiyo Unayoiponda!!!! SIDHANI Kama Ni UNAFIKI Na UNDUMILAKUWILI!! Bali Ni Moja Ya Hatua Nzuri Ya Kujenga Umoja Wao!! TATIZO Ni WABARA, Ndio Wanaoivuruga Zanzibar, Na Wenyewe Wameshalijua Hilo!!!!
Duuuu!!! Jini hilooooooo!!!! Kweli JF is never boring.
Wamulike Ask Kakobe akalishughulikie hilo jini lililotoroka kwenye chupa!!!
Queen Esther
Mbona hukueleza hichi kinachowatafuna sasa ni katiba au suk au uchaguzi ?Haki walianza kutoitenda wao wenyewe kwa sababu waliamua kuwa wanafiki na ndumila kuwili.
Kinachotokea kwa sasa ni muendelezo tu wa yale waliyoyafanya kinafiki katika fikra za kibinafsi.
Mtoa mada unaweza usieleweka kwa kuwa wengi hawatatafari vifungu ulivyotoa. Wazanzibar mara zote wamewaona watanganyika kama maadui wa ustawi wao, uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa ilivuruga kila kitu, moja ilituonyesha kuwa zanzibar vyama vya siasa ni CUF na CCM na haluma aliyeuliza. Katiba ikakanyagwa kwa kile kilichodaiwa kuipa nguvu serikali ya mapinduzi na sasa tena mnaililia serikali ya muungano kuingilia kati katika mambo yenu ilhali katiba yenu haitambui mamlaka ya serikali ya jamhuri.Ni wazi kuwa kwa katiba ya Zanzibar huu ni mtego usioepukika Seif hata asipogombea bado kkatiba itampa umakamu wa kwanza wa Rais maana katiba inatambua vyama viwili tu.
Ni wazanzibar wakati wa kuundwa kwa mfumo wa vyama vingi waliokaa kuwepo kwa tume moja tu ya uchaguzi, leo ZEC isingekuwepo na mambo yote yangeratibiwa na NEC, yumkimi usingepata kumsikia mtu anayeitwa Jecha.
Kwani NEC sio tumehuru,au ni Zec tu .zote mbili sio huruWell said....JPM Anaanza anzaje?wakati mliweka solidarity kuwa ZEC ni tume 'huru'hakuna mtu kuingilia.Aaah mi naona mshalikoroga sasa hamna namna mlinywe tu.!!!
Ni hivi matatizo ya zanzibar yalitoka tanganyika ,,yanatoka tanganyika na yataendelea kutoka tanganyika .subiri hichi ni kichwa cha kitabu kitatoka karibuni mkuu ukikisoma utaelewa vizuri mkuuUnafiki na undumila kuwili kwa sasa umewaumbua. Mlificha magonjwa kwa unafiki na sasa kifo cha serikali ya umoja wa kitaifa kinawaumbua.
Mlimtumia Abubakar Khamis Bakary Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni kuwasilisha hoja binafsi kulitaka Baraza la Wawakilishi kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu kuanzishwa kwa Mfumo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar lakini katika mlengo wa kutaka kujitenga na Tanzania Bara. Hoja hiyo, ilikubaliwa na Baraza la Wawakilishi na kupelekea kutungwa kwa Sheria ya Kura ya Maoni Nam 6, 2010.
Mliamua kujifungia kwenye vyumba vya siri bila kuwashirikisha wananchi wa Tanzania Bara na mkafikia makubaliano ya kinafiki ya kubadilisha katiba yenu kwenye Sura ya Kwanza, Sehemu ya Kwanza ambayo kwa sasa inasema, Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za kisheria nchini kote na isipokuwa kutokana na kifungu 80 ikiwa sheria yoyote inatofautiana na Katiba hii, basi Katiba hii ndiyo itayokuwa na nguvu na sheria hiyo itakuwa batili kwa kiwango kile ambacho kinahitilafiana.
Mbaya zaidi, kwa kupitia katiba yenu ya kinafiki mkatuaminisha kinafiki kuwa Tume ya Uchaguzi kwa sasa ni huru na inayojitegemea katika kutekeleza majukumu yake kupitia Kifungu cha 119 (13) kwa sababu ina wajumbe WANNE waliopendekezwa na vyama vya CUF na CCM. Mjumbe MMOJA aliyependekezwa na Rais. Jaji MMOJA aliyependekezwa na Mahakama Kuu na pia Mwenyekiti aliyeteuliwa na Rais kwa kadri anavyoona inafaa.
Mkasema wazi katika kifungu cha 119(13) kuwa: “Hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza jambo lolote lililotendwa na Tume ya Uchaguzi katika kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba”.
Hamkuishia hapo, mkatuambia kupitia Kifungu cha 119(4), kuwa pindi Mjumbe wa Tume anapoteuliwa, hakuna mtu/kiongozi mwenye mamlaka ya kumuondoa au kumfukuza Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi mpaka atakapotimiza miaka mitano tokea kuteuliwa kama Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi.
Tume ya Uchaguzi mkaifanya kama Jini ndani ya chupa, kwa sasa limetoka na hamuwezi kulirudisha ndani ya chupa! Mmebaki kulaumiana kuhusu nani aliyelitoa jini kwenye chupa!
Mkatuambia mmechoka kufanyiwa maamuzi na watu wa Tanganyika na kuanzia sasa vyenu ni vyenu wakati wa raha lakini wakati wa shinda, vyenu ni vyetu. Tuliwaambia haiwezekani vyenu viwe ni vyenu pekee wakati wa raha lakini wakati wa shida, vyenu viwe vyetu.
Mkasema Watanzania Bara wanachochea mtengane lakini kwa sasa mmeamua kushikamana. Tuliwaambia hiyo ndoa yenu haitadumu lakini mkabisha. Yamefika wapi?
Unafiki na undumila kuwili kwa sasa unawatafuna!
Maji mliyavulia nguo mkiwa mmejifungia ndani ya chumba cha siri, hamna budi vile vile kuyaoga kama mnavyofanya kwa sasa kwenye mazungumzo yenu ya siri ambayo Watanzania Bara hawafahamu na hamtaki wafahamu kinachoendelea.
Msemajiukweli,Unafiki na undumila kuwili kwa sasa umewaumbua. Mlificha magonjwa kwa unafiki na sasa kifo cha serikali ya umoja wa kitaifa kinawaumbua.