Membe apinga kufutwa uchaguzi wote Zanzibar

Membe apinga kufutwa uchaguzi wote Zanzibar

Usijibaraguze hapa, ushauri huu umepewa na wengi tuu kwenye Uzi wako wa Mwenyekiti PAC. Unadhani wale wote wanakuchukia wakati hawakujui? Kupost hoja sio ujanja kama ni hoja ya kipuuzi.
Ndio maana nimekuuliza umesoma NGUMBARU?
Nimekuambia kabla hujaanza kushauri wengine, jaribu kwanza kuzishauri fikra zako!

Kama mimi nimesoma ngumbaru, wewe utakuwa umesoma wapi?
 
Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje amepinga uamuzi wa kufutwa matokeo yote Zanzibar na kusema dunia inashangaa na kuitaka CCM na serikali isiwaachie watu wawili tu kutafuta njia za kutatua mgogoro huo.

Membe anakuwa mwanasiasa wa kwanza mwandamizi kutoka chama tawala kuonesha waziwazi kutoridhishwa na uamuzi wa kufutwa kwa uchaguzi huo wa Rais wa Zanzibar, wawakilishi na madiwani ambao ulifanyika sambamba na uchaguzi wa Rais wa jamhuri wa Tanzania, wabunge na madiwani wa bara na visiwani.

Kinachoshangaza dunia si kuahirisha uchaguzi bali kufuta matokeo ya majimbo yote, alisema mwanadiplomasia huyo.

Magazeti 23 January

Kakosa cheo huyo yanamtoka tu,mbona zamani mengi ya hovyo yalikuwa yanafanywa na ccm yake wakati yupo kwenye system!
 
Hiyo avatar imekuwa nembo ya mnafiki tayari. Jipime kama unataka kuendelea nayo hiyo avatar.
Mbona hata avatar yako,ni nembo ya wanafiki na Membe ni moja wapo ya wabeba avatar yako
 
Toka jana siamini mambo yanayo andikwa kuhusu membe kama kweli yametamkwa na Membe!
Watu wanatakiwa kujiuliza kama kweli haya yanasemwa na Membe .muda wote alikuwa wapi?
 
Toka jana siamini mambo yanayo andikwa kuhusu membe kama kweli yametamkwa na Membe!
Watu wanatakiwa kujiuliza kama kweli haya yanasemwa na Membe .muda wote alikuwa wapi?
Naona ameamua kujilipua baada ya kuona kuwa hakuna dalili za kupata cheo. Alitegemea pengine angeteuliwa kuwa mbunge then apate wizara. Kaona kimya. Sasa ameamua liwalo na liwe. Kweli CCM hawakukosea kumkata
 
Inaonekana aliongea mambo mengi zaidi mwananchi nao wanatoa moja moja ili wauze tuu..uchaguzi umefutwa mwaka jana leo ndio anaongelea madhara ya kufuta uchaguzi ? Yupo sahihi kupinga au kukubali mimi hapo katika muda ndio nina mashaka na maneno yake..
 
Toka jana siamini mambo yanayo andikwa kuhusu membe kama kweli yametamkwa na Membe!
Watu wanatakiwa kujiuliza kama kweli haya yanasemwa na Membe .muda wote alikuwa wapi?

Wewe ni mmoja wa watu wanaoamini kuwa bila CCM hakuna Tanzania,hujawahi kukubaliana na Ukweli,hasa Ukweli huo unapoenda tofauti na misimamo ya mahafidhina wa CCM.
 
Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje amepinga uamuzi wa kufutwa matokeo yote Zanzibar na kusema dunia inashangaa na kuitaka CCM na serikali isiwaachie watu wawili tu kutafuta njia za kutatua mgogoro huo.

Membe anakuwa mwanasiasa wa kwanza mwandamizi kutoka chama tawala kuonesha waziwazi kutoridhishwa na uamuzi wa kufutwa kwa uchaguzi huo wa Rais wa Zanzibar, wawakilishi na madiwani ambao ulifanyika sambamba na uchaguzi wa Rais wa jamhuri wa Tanzania, wabunge na madiwani wa bara na visiwani.

Kinachoshangaza dunia si kuahirisha uchaguzi bali kufuta matokeo ya majimbo yote, alisema mwanadiplomasia huyo.

Magazeti 23 January

amesema ukweli kabisa mungu ambariki
 
Ndio kusema Kuna baadhi ya wana CCM akili imeanza kuwarudi,au wanaongea kiunafiki maana kabla hawajatangaza kurudiwa uchaguzi walikuwa kimya,kama vile kulikuwa hakuna jambo lililokuwa linaendelea kule Zanzibar.
Dhamira ya mtu sio rahisi kuhifahamu. Cha msingi ni kile alichokitamka.
 
Naona ameamua kujilipua baada ya kuona kuwa hakuna dalili za kupata cheo. Alitegemea pengine angeteuliwa kuwa mbunge then apate wizara. Kaona kimya. Sasa ameamua liwalo na liwe. Kweli CCM hawakukosea kumkata
Membe ni mtanzania na ana haki ya kutoa maoni yake. Wanachokiogopa wengi ni kwamba hayo maoni yatasikilizwa. Kama unaona ni mufilisi ignore him, pengine maoni yake yatapita kama yaliyopita ya wengine waliotoa kabla yake. Lakini kama wewe ni Great Thinker take heed. Tarehe 20 March ni mbali watasema wengi na yatasemwa mengi.
 
Back
Top Bottom