Recent content by Young Gwala

  1. Young Gwala

    Mkenya pekee anayejua mziki

    Imperialism at its best! Mzungu amehakikisha yaani sisi waafrika tutatofautishwa kwa hali ya chuki Baina ya mipaka hadi ubishi wa kijamii kama huu waebua maneno ya chuki na uhasama. Afrika Ni watu moja acheni kutenganishwa na globalist movement. Hii ni kwa ndugu Zangu wa Tz wanaoshtumu wenzao wa...
  2. Young Gwala

    Jay More ushauri kwako

    Tuma jembe
  3. Young Gwala

    Hip hop Facts Thread

    Salute
  4. Young Gwala

    Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

    Ni msemo huo mkubwa. Yaani unaeka FT under 3.5 ngoma iko halftime 2-2. Apo ndio si husema ‘utajua hujui’ hahaha
  5. Young Gwala

    Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

    Kuna ku dream na kua superstitious. So sijui we ni yupi. Ila all the best in all that you endeavor. Cheers✌
  6. Young Gwala

    Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

    Hio motivation ulionayo kwanza bora kuliko zote.But my friend let me warn you. Forex is not gambling. Si sport pesa hio kaka. Uwezekano wa kushinda bet ni below 1 (nadhani wafahamu probability and statistics) kwa hio unachojaribu kusema eti unaanza bila kujifunza na unajifunza ukiendelea hapo...
  7. Young Gwala

    Mfahamu Marehemu Dr Sebi

    Kwa lugha ya Kiswahili yafahamika kama nini?
  8. Young Gwala

    Mfahamu Marehemu Dr Sebi

    Nijulishe ukifahamu. Asante
  9. Young Gwala

    Mfahamu Marehemu Dr Sebi

    Quinoa,chia seeds na pecans zaitwaje Kiswahili?
  10. Young Gwala

    Dawa ya meno ipi nzuri kuondoa ukungu na weusi?

    Kanunue Colgate pro Relief Ni gali na Ni ya kweli. Based on experience
  11. Young Gwala

    JF translator

    hivi hapa kuna Ma gwiji wa lugha aina aina. Mbona alie kwama asiombe usaidizi? Hivi nina Maneno ya kiingereza naomba utafsiri ila thread Hii ni ya wote wanaotaka kupata tafsiri ya Maneno Yao kwa lugha inayofahamika east Africa
  12. Young Gwala

    Makapuku Forum

    Zaitwaje kwa Jina la Kiswahili? Shukran.
  13. Young Gwala

    Kuwashwa mikono na kuchezwa na macho (kulia au kushoto)

    Hii yote ni superstitions mummy usiziamiani kwani yote yanayotokea ni maktub.
  14. Young Gwala

    Windows 10 imeshatoka rasmi kwa windows phone?

    Inategemea na Simu Firmware Ni Version ya wPi
Back
Top Bottom