Jay More ushauri kwako

kluger

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,093
1,894
Mkuu Jay more, nipo kwny foleni nasikiliza ngoma yako ya Tunakula bata, ambayo ni mpya! Niseme tu hongera sana Kia mashairi na ubunifu wako kwenye song hilo. Binafsi si msanii wala producer wa mziki, ila najiona nina uwezo mkubwa kwny production ya music.

Nataka kukushauri kitu kidogo sana ili utishe na kuuza sana barani Africa. Najua wakina Joh makini wanasubiri sana kwako, we ni mkongwe na unajua, issue ni moja tu, unapo rap au kughani unatumia sauti kama unaongea na mtu yupo mbali sana na wewe, yaani unapayuka sana mpaka hakuna raha ya kusikiliza ile sauti yako,

Unapoimba chorus, ile sauti ndiyo hasa ulitakiwa kutumia kurap nyimbo zako, yaani jaribu kutuliza sauti yako wakati wa kurap ! Acha kupayuka na papapara, kwa sauti yako jaribu kurap kwa bass na utulivu ACHA KUPAYUKA WAAMBIE NA WASANII WENZAKO HASA KWNY LIVE SHOW,

Take it,or live it !!!!
 
Itakua humjui Jay Mo bosi.

Kasikilize ingekua vipi wa Mwana FA na Jay Mo halafu sema kama kapayuka.

Kama hauna huo wimbo sema nikuwekee

Huo ni mmoja kati ya mingi
 
Jay mo, mo technic ni shida huyu jamaa hajawahi kuniangusha ni rapper mkali mwenye ubunifu
 
Nakumbuka album ya kwanza ya jay more ilikuwa na nyimbo kali sana karibia zote,maisha ya boarding,mvua na jua na nyinginezo
 
hawa wengine zama zao zimeshapita waende shambani tu au viwandani... mziki wawaachie WCB tu na kina navy kenzo
 
Nakumbuka album ya kwanza ya jay more ilikuwa na nyimbo kali sana karibia zote,maisha ya boarding,mvua na jua na nyinginezo
wee bishoo tu.eti kisa mtoto wa tajiri wananiita bishop.eti kisa mtoto wa mama wananiita bishoo. duh ile albam ya kwanza jamaa alitisha
 
Jay MO ni regendary wa swahili hip hop toka enzi za wateule bila shaka umemfahamu Katika [HASHTAG]#tunakula[/HASHTAG] bata vipi ulimwengu ndio mama, kama unataka demu, story tatu kwa mfano you. Pia tambua mabadiliko kuelekea mafaniko ni lazima ila sio upayukaji hayo ni yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom