Mfahamu Marehemu Dr Sebi

Mfahamu Marehemu Dr Sebi

Dr Sebi alizaliwa Honduras, alifanikiwa kutibu AIDS, cancer, kisukari, lupus na kifafa. Miaka ya 1980 alichapisha tangazo kwenye gazeti la New York Post "AIDS has been cured by USHA Research Institute, and we specialize in cures for Sickle Cell, Lupus, Blindness Hepers, Cancer and others" Tangazo hili liliifanya idara ya dawa na chakula ya Marekani kumfungulia kesi Dr Sebi kwa kutoa tangazo la uongo na kuendesha biashara ya matibabu bila ya leseni. Dr Sebi alishinda kesi ile kwasababu alipata mashahidi 70 waliotoa ushahidi mahakamani kutibiwa kila ugonjwa alioutaja Dr Sebi.

Katika matibabu ya Dr Sebi anaamini katika nguvu ya chakula, alisema kuwa Mungu alipotuleta hapa duniani alituweka na vyakula vyote vinavyotibu magonjwa yetu. Ni aina ya ulaji wetu ndiyo unafanya sisi kuandamwa na magonjwa.

Anaamini magonjwa yaanza kwenye cell na matibabu hivyo hivyo. Mwili unapokuwa kwenye acidic balance ndiyo mazingira mazuri mazuri ya wadudu kuzaliana na mwili unapokuwakwenye alkaline balance wadudu ambao wapo huko hukosa nafasi ya kuishi na magonjwa kupotea.

Mchanganyiko wa chakula cha wanga na protini ni sumu kubwa ya mwili, kwani msago wa vyakula hivyo huupeleka mwili kwenye acidic balance. Mfano wa vyakula hivyo ni wali na nyama, ugali nyama,

Mboga ambazo Dr Sebi anashauri ziliwe ni:
Vegetables
  • Amaranth greens – same as Callaloo, a variety of Spinach
  • Avocado
  • Bell Peppers
  • Chayote (Mexican Squash)
  • Cucumber
  • Dandelion greens
  • Garbanzo beans
  • Green banana
  • Izote – cactus flower/ cactus leaf – grows naturally in California
  • Kale
  • Lettuce (all, except Iceberg)
  • Mushrooms (all, except Shiitake)
  • Nopales – Mexican Cactus
  • Okra
  • Olives
  • Onions
  • Poke salad – greens
  • Purslane (Verdolaga)
  • Sea Vegetables (wakame/dulse/arame/hijiki/nori)
  • Squash
  • Tomato – cherry and plum only
  • Tomatillo
  • Turnip greens
  • Watercress
  • Zucchini
Matunda:
Fruits

(No canned or seedless fruits)

  • Apples
  • Bananas – the smallest one or the Burro/mid-size (original banana)
  • Berries – all varieties- Elderberries in any form – no cranberries
  • Cantaloupe
  • Cherries
  • Currants
  • Dates
  • Figs
  • Grapes- seeded
  • Limes (key limes preferred with seeds)
  • Mango
  • Melons- seeded
  • Orange (Seville or sour preferred, difficult to find)
  • Papayas
  • Peaches
  • Pear
  • Plums
  • Prickly Pear (Cactus Fruit)
  • Prunes
  • Raisins –seeded
  • Soft Jelly Coconuts
  • Soursops – (Latin or West Indian markets)
  • Tamarind
Chai
Herbal Teas
  • Allspice
  • Anise
  • Burdock
  • Chamomile
  • Elderberry
  • Fennel
  • Ginger
  • Raspberry
  • Tila
Viungo:
Mild flavors

  • Basil
  • Bay leaf
  • Cloves
  • Dill
  • Oregano
  • Parsley
  • Savory
  • Sweet Basil
Pungent and Spicy Flavors

  • Achiote
  • Cayenne/ African Bird Pepper
  • Coriander (Cilantro)
  • Habanero
  • Onion Powder
  • Sage
Nafaka:
Grains
  • Amaranth
  • Fonio
  • Kamut
  • Quinoa
  • Rye
  • Spelt
  • Teff
  • Wild Rice
Nuts and Seeds – (includes Nut and Seed Butters)
  • Hemp Seed
  • Raw Sesame Seeds
  • Raw Sesame Tahini Butter
  • Walnuts
  • Brazil Nuts
  • Pine Nuts
Oils
  • Olive Oil (Do not cook)
  • Coconut Oil (Do not cook)
  • Grapeseed Oil
  • Sesame Oil
  • Hempseed Oil
  • Avocado Oil
Pia Dr Sebi anashauri unywaji wa galoni moja ya maji kwa siku kama njia nzuri ya kutoa takata taka zilizomo mwilini. Chai na kahawa ni simu kubwa katika mwili, kunywa herbal teas na maji tu kama utaweza.
Quinoa,chia seeds na pecans zaitwaje Kiswahili?
 
Nijulishe ukifahamu. Asante
Quionos seeds

23455-1w600h600_Organic_Quinoa_Seeds_Sprout.jpg
 
Hivi hii kitu hakuna sehemu inalimwa hapa Tanzania? Mtupe jina hata la Kingoni.
Hiyo Kitu (Quinoa) hailimwi Tanzania inalimwa Amerika ya kusini.

Quinoa
Chenopodium quinoa
A high protein staple green and seed “grain” from the Andean highlands, with thicker and juicier leaves than lambs quarter, its close cousin. Leaves are a nice salad size with salty spinach-like flavor. Thrives in dry periods of summer. Sow 1” apart in rows for cutting 6-8” plants for greens, or space 12-14” apart for picking leaves (which may be followed by grain production). Maturing seed heads are very brightly colored, ornamental, and high yielding.

After decades of obscurity, Quinoa has recently swept to the attention of farmers and gardeners in North America. Washington State University has an extensive testing program ongoing to find South American varieties that will perform well in the Pacific Northwest. Quinoa is largely adapted to cool, dry, upland conditions, and will fail to make seed if temperatures are too hot for pollen tube development. This temperature sensitivity is variable across varieties. The Willamette Valley is too warm some years, and with warmer climates ahead, it is not too early to begin the process of adaptation chanzo.https://www.wildgardenseed.com/index.php?cPath=50
 
Kuna documentary yake (Dr Sebi) ambayo Nipsey Hussle alikuwa anaitengeza bahati mbaya akauwawa ila sasa Nick Cannon ameahidi kuimalizia.
Na yeye huyo Nick Cannon watamuuwa kama walivyo muuwa RIP Nipsey Hussle. Kwani Kundi la Elluminati aka Wanaotengeneza Dawa feki za kuwatibu watu hawataki watu wasituke kwa kutumia Dawa za Asili na matunda na mboga za majani kuwa ni chakula na dawa.Wanataka watu watumie Vidonge vyenye Sumu Drug Poison ili Biashara yao ipate faida na kuendelea zaidi na watu wapate kufa taratibu na kupunguwa duniani.


.
 A society that keeps cures a secret so they can continue to sell medication for huge profits ...jpg


“ A society that keeps cures a secret so they can continue to sell medication for huge profits is not a real society but a huge mental asylum”.
 
Na yeye huyo Nick Cannon watamuuwa kama walivyo muuwa RIP Nipsey Hussle. Kwani Kundi la Elluminati aka Wanaotengeneza Dawa feki za kuwatibu watu hawataki watu wasituke kwa kutumia Dawa za Asili na matunda na mboga za majani kuwa ni chakula na dawa.Wanataka watu watumie Vidonge vyenye Sumu Drug Poison ili Biashara yao ipate faida na kuendelea zaidi na watu wapate kufa taratibu na kupunguwa duniani..
Ngoja tuone siku zinavyokwenda, mimi mwenyewe siyo muumini wa dawa za maabara, sijakanyaga hospitali kwa kuumwa kwa miaka karibu ishirini sasa. Nikiona wenzangu wana homa ya mafua na grate kitunguu saumu kizima (head of garlic) naweka maji kwenye glasi na kunywa, chungu ila nimeshazoea.

Nafahamu DR. Sebi hakupenda kitumia kitunguu Saumu ila kautafiti kangu kameonesha vitunguu vina faida sana kwa mwili.
 
Nimesikia doctor sebi anaongelea kuhusu QUINOA kwa kiswAhili ni nn
QUINOA ni jamii ya mmea fulani unaofanana na mtama lakini sio mtama na mbegu zake ni kubwa kuliko mbegu za mtama. Mmea huo unapatikana Amerika ya kusini nchini Peru,bolivia na Ecuador kwa huko kwetu mmea huo unapatikana nchini kenya. Kwalugha ya kiswahili Quinoa hata sijuwi.Ila ni chakula kizuri chenye Vitamin na Madini pamoja na lishenzuri sana. unaweza kusoma zaidi kwa kubonyeza hapa. Quinoa - Wikipedia



QUINOA SEED MBEGU ZA QUINOA.jpg

Mbegu za Quinoa
Quinoa_flower MAUWA YA QUINOA.JPG

Mauwa ya Quinoa
Chenopodium_quinoa_before_flowering  MTI WA QUINOA.jpg

Mmea aka Mti wa Quinoa



MBGU ZA QUINOA.jpg

Mbegu mbichi za Quinoa zikiwa mtini kwake.
 
QUINOA ni jamii ya mmea fulani unaofanana na mtama lakini sio mtama na mbegu zake ni kubwa kuliko mbegu za mtama. Mmea huo unapatikana Amerika ya kusini nchini Peru,bolivia na Ecuador kwa huko kwetu mmea huo unapatikana nchini kenya. Kwalugha ya kiswahili Quinoa hata sijuwi.Ila ni chakula kizuri chenye Vitamin na Madini pamoja na lishenzuri sana. unaweza kusoma zaidi kwa kubonyeza hapa. Quinoa - Wikipedia



View attachment 1477391
Mbegu za QuinoaView attachment 1477392
Mauwa ya QuinoaView attachment 1477394
Mmea aka Mti wa Quinoa



View attachment 1477398
Mbegu mbichi za Quinoa zikiwa mtini kwake.
Asanteee ase

Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom