Windows 10 imeshatoka rasmi kwa windows phone?

Madame S

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
17,172
34,362
Habari wakuu....

Jamani naombeni kufahamu windows 10 imeshatoka rasmi kwa windows phone?? Maana kila nikiupadte inanambia simu yangu ipo up to date na natumia window 8.1 kwa sasa.

Kingine Ni jinsi ya kuset quiet hours kila nikijaribu inashindikana na Kila kitu kipo sawa like Cortana ipo on na battery server ipo off na drive mode ipo off naombeni msaada katika hayo.

Ahsanteni...

wp_ss_20160201_0027.png
 
Back
Top Bottom