Recent content by Yeressa

  1. Yeressa

    SoC02 R.I.P ip_mob, JF member aliyebadili maisha yangu

    Good people still exist in this world may his Soul rest in eternal peace [emoji120].
  2. Yeressa

    Nguvu iliyoko kwenye branding na kwa nini unatakiwa kujibrand bila ukomo

    Nakupigia ndugu niliamka nawaza hii kitu kwaajili ya biashara yangu
  3. Yeressa

    Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

    Hilo ni tatizo kikubwa mtu uielewe biashara uingie mwenyewe ufanye
  4. Yeressa

    Biashara ya kupeleka Malawi

    Niliwahi kupeleka redbull na vikoi kitambo, ila line za malawi zinabadilika sana inaenda na msimu kama kipindi hiki nina mwana anatoa soya malawi, na mabelo ya mitumba inamlipa! Wengine wanavusha vipombe ila issue wakikuotea unakata mtaji lazima usome magap kwanza.
  5. Yeressa

    Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

    What is safi about it my friend [emoji3][emoji3]? Its laki 9 on the line! Kajifunza the hardest way yaani
  6. Yeressa

    Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

    Kuna kitu mnakoseaga, biashara be front it was too early for u to trust someone hizo siku 3 ungetafuta lodge ya bei rahisi ukapembejea hela yako! Uaminifu hakuna sikuhizi trade with caution!
  7. Yeressa

    Kumbukeni ni KIGOGO sio MGOGO

    We should be sharp like like ocean sharks ! Tukienda kiboya tutaliwa
  8. Yeressa

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    As am typing here nimepata kazi Saudia Miaka 2 mkataba, visa, ticket, accommodation,food,health kwao nikawa nasubiri tuu lockdown ziishe waruhusu ndege niondoke! Ila nafsi yangu haikuwa na furaha saana nimakazana kuendelea kutuma cvs kwingine but at hand nina iyo offer.
  9. Yeressa

    Nimeamini asilimia kubwa ya Wanawake wa leo wanajiuza tofauti yao ni mazingira tu ya upatikanaji wao

    Maisha yanaenda kinyumenyume siku hizi! Wenzio wanafichaja upumbavu wao na kuonyesha busara zao! Huyo dada yupo kwaajili ya watu kama nyie! She is not alone on that!
  10. Yeressa

    Mwaka huu mikoa ya Dar na Pwani ina maajabu

    Huu mwaka ni wa aina yake! Nimeshuhudia wajumbe wakigeuka kuwa ngazi muhimu kwa wanasiasa! Wakati miaka yote walikuwepo na hawakuwahi kuwa kama namna hii!
  11. Yeressa

    GE2020 Yanayotokea Tanzania Leo yalitokea Indonesia 1998

    I look at Zambia, Malawi waliweza upinzani kuchukua nchi historia ikabadilika! Kwa Tanzania yetu shida ni unafiki watu hawana misimamo thabiti! Imagine habari za wapinzani hazipewi coverage ya kutosha wakifanya mema! Mabaya ndio yanatangazwa kwa nguvu! It takes alot yaan the journey is not eas s...
  12. Yeressa

    Mtandao upi una vifurushi nafuu Tanzania

    Nilijaribu kuwa mzalendo na TTCL! Ila kuna ufala mmeuanzisha sijui mshauri wenu nani! Bando la 5000 week data hii! Unapata 8Gb . .3 asubuhi (saa 12 asubuhi -2usiku) then la usiku lilikuwa linaanza saa 2 usiku hadi 12 asubuhi. Sasa hivi bando la usiku mmeweka linaanza saa 6 usiku! Are u people...
Back
Top Bottom