Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Very possible, ndo maana miaka ya nyuma hali ya hewa ilikuwa nzuri kuliko sasa kwa baadhi ya maeneo duniani.+1
Hata anga limekuwa la blue zaidi, viwanda na ndege vinachangia sana kuchafua hali ya hewa , na ndio sababu mikoa hii ya pwani na dar Sasa hivi inaonekana kuwa na baridi
Hatari iliyopo maeneo yenye wingi wa barafu yanazidi kupungua!!