Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Wakuu mnatumia line gani zenye ma bundle nafuu?
Mimi natumia TTCL ila sasa, wamefanya utopolo wa kiwango chake, yani 3500 GB 2.5 kwa week. Wakati ilikuwa natumia 2500 GB 3 kwa week, yani sasa hiv natumia sana pesa kwa ajili ya bundle. Nyie mnatumia mtandao gani atleast nipate hizo gb 3 kwa bei isiyo zidi 2500.
TTCL bye bye.