Recent content by yaser

  1. yaser

    Watanzania wafupi mno mpaka imekuwa kero sasa!

    Mmh bado unatumia tu hii account?
  2. yaser

    Dr. Slaa huko Ulaya ni mwanafunzi, mwajiriwa au ni mfanyabiashara?

    Avatar gan tena mama. [emoji23][emoji23]
  3. yaser

    kama huna dhambi fungua hapa

    Nifa njoo ufungure huku
  4. yaser

    chafya kwa mwanadamu

    Bado hamjafika tu madktari?
  5. yaser

    Dr. Slaa huko Ulaya ni mwanafunzi, mwajiriwa au ni mfanyabiashara?

    Ayaaaa hatimaye nifah umerud. Dah nasfi yangu ipo tununu sasa.
  6. yaser

    Ligi kuu Uingereza mbona sijawahi kuona waamuzi weusi?

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. yaser

    Korti Kuu Arusha yashindwa kutoa uamuzi, mbunge Lema arudishwa rumande

    Ni kweli kinachoonekana hapa ni kusubir miez mitatu ifike awe disqualified na ubunge then jimbo libaki empty na uchaguz uitishwe tena. So sad nchi yetu wallah
  8. yaser

    WCB watembelewa na Waziri wa mambo ya ndani

    Hapa kuna kitu zaidi ya muziki. Kwan wasafi ndio watu wa kwanza kuwa na ofisi za muzik Tanzania? Ofisi sio lazma iwe jengo la kupendeza, kuna studio ngap wanamuzik wanamilik hatuhawah kushuhudia viongoz wanaenda huko. Kuna bongo records, mj record na zngne hzo ni ofisi zawasa ii hakuna kiongoz...
  9. yaser

    Azam FC imewatimua makocha wake wote raia wa Hispania

    Wamchukue plujini wa yanga atawafaa sana
  10. yaser

    ITV rekebisheni maswali ya kipima joto

    Hahahaha ya kweli hayo?
  11. yaser

    ITV rekebisheni maswali ya kipima joto

    Naomba nikupe tu ushauri ndugu yangu. Kama kweli ni mpenzi wa habari zilizochambuliwa kwa kina fanya kuangalia kupitia Azam Tv 2, otherwise km hautumii decorder yao. jamaa wana habari nzur na zilizochambuliwa vzr. Kuna watu wenye weledi mkubwa wa habari kama Charlea Hilal, Raymond Nyamuhula...
  12. yaser

    ITV rekebisheni maswali ya kipima joto

    Ingekua vzur km wangekua wanauluza maswali yanayoibua majibu ya kero fulani miongoni mwa watazamaji wao. Kwa mfano "NINI KIFANYIKE KUZUIA UJENZI WA GEREJI BUBU MTAANI" hapo wangekua wanakusanya maoni mengi sana kuliko maswal ya muongozo.
  13. yaser

    Muigizaji wa Filamu ya Star Wars, 'Princess Leia' afariki dunia

    Kwaiyo wewe unaogopa kufa mwaka huu tu hzo siku tatu zikiisha ukafa sio ishu kwako. Waza kivingne tena asee.
  14. yaser

    Leka Dutigite:Wazawa Wa kigoma tufamiane.

    Ili iweje au umetumwa na mfalme. Imebidi muje na style mpya. Mello alishakataa mambo ya kutambuana na mpaka rumande akalala wewe unataka nn tena.
Back
Top Bottom