Muigizaji wa Filamu ya Star Wars, 'Princess Leia' afariki dunia

carrie_fisher-birthday-today.jpg
 
Kama nani tena hayupo ? Na je Kuna mwaka gani ambao watu hawafi mpaka kufikia wewe kuamini kua mwaka huu ukisha Basi itakua ahueni?

Stop childish, act matured
Punda we, umesoma nilichoandika au umeamua kuharisha maneno ya hovyo kwenye thread yangu.
Ngoja nikujibu halafu rudi tena kusoma nilichoandika.

"Kama nani tena ?" kama hii list hapo chini na kama wewe unamazoea ya kusoma news za kila sehemu.
Andrew Sachs: The German-born British actor found fame playing Spanish waiter Manuel in the 70s British sitcom Fawlty Towers. In 2009, he joined Coronation Street as Ramsay Clegg. Died November 23, from dementia, aged 86.

Peter Vaughan: British actor best known for his roles as Maester Aemon Targaryen in Game Of Thrones and Harry Grout in Porridge. Died December 6, aged 93

Ron Glass: American actor best known for his role as Detective Ron Harris in the cop comedy Barney Miller. More recently he voiced Randy Carmichael in the cartoon series Rugrats and appeared in Agents of S.H.I.E.L.D. Died November 25, of respiratory failure, aged 71.
Pete Burns: The eighties pop singer was best known for his hit You Spin Me Round with his band Dead or Alive. Burns was also known for his extensive plastic surgery and returned to the spotlight in 2006 to appear on Britain's Celebrity Big Brother. Died October 25, aged 57.

Jimmy Perry: British screenwriter who created Dad's Army and, in partnership with writer David Croft, It Ain't Half Hot Mum, Hi-de-Hi and You Rang M'Lord?. Died October 23, after a short illness, aged 93.
Don Marshall: American actor best known for Land Of The Giants and Julia. Died October 30, aged 80

Hao ni baadhi tu.

Nilisema "Yaani huu mwaka uishe tu." Naomba Mungu mwakani kuwe tofauti" Fikiri tena nilichosema kabla hujarudi hapa kuharisha tena.
 
Kwaiyo wewe unaogopa kufa mwaka huu tu hzo siku tatu zikiisha ukafa sio ishu kwako. Waza kivingne tena asee.
Na wewe mwingine unaeharisha maneno. "Nimesema imebaki siku tatu tu , Tuombe Mungu ziishe bila Majanga"
Haimaanishi kwamba ndio tuache kuomba majanga yasitokee baada ya siku tatu.
 
Alipata heart attack ndani ya ndege akisafiri kutoka London kwenda Los Angeles. Pamoja na kuwahi hospitali lakini hawakufanikiwa kuokoa maisha yake. RIP and thanks for the memories.
weekend hii nitaangalia star wars "The Empire strike Back" kwa kumbukumbu yake.
 
Na wewe mwingine unaeharisha maneno. "Nimesema imebaki siku tatu tu , Tuombe Mungu ziishe bila Majanga"
Haimaanishi kwamba ndio tuache kuomba majanga yasitokee baada ya siku tatu.
Dada Punguza Jazba! Hamna mtu anaeharisha huku! Umeleta Uzi watu wanachangia na sio lazima Wachangie unavyotaka wewe
 
Punda we, umesoma nilichoandika au umeamua kuharisha maneno ya hovyo kwenye thread yangu.
Ngoja nikujibu halafu rudi tena kusoma nilichoandika.

"Kama nani tena ?" kama hii list hapo chini na kama wewe unamazoea ya kusoma news za kila sehemu.
Andrew Sachs: The German-born British actor found fame playing Spanish waiter Manuel in the 70s British sitcom Fawlty Towers. In 2009, he joined Coronation Street as Ramsay Clegg. Died November 23, from dementia, aged 86.

Peter Vaughan: British actor best known for his roles as Maester Aemon Targaryen in Game Of Thrones and Harry Grout in Porridge. Died December 6, aged 93

Ron Glass: American actor best known for his role as Detective Ron Harris in the cop comedy Barney Miller. More recently he voiced Randy Carmichael in the cartoon series Rugrats and appeared in Agents of S.H.I.E.L.D. Died November 25, of respiratory failure, aged 71.
Pete Burns: The eighties pop singer was best known for his hit You Spin Me Round with his band Dead or Alive. Burns was also known for his extensive plastic surgery and returned to the spotlight in 2006 to appear on Britain's Celebrity Big Brother. Died October 25, aged 57.

Jimmy Perry: British screenwriter who created Dad's Army and, in partnership with writer David Croft, It Ain't Half Hot Mum, Hi-de-Hi and You Rang M'Lord?. Died October 23, after a short illness, aged 93.
Don Marshall: American actor best known for Land Of The Giants and Julia. Died October 30, aged 80

Hao ni baadhi tu.

Nilisema "Yaani huu mwaka uishe tu." Naomba Mungu mwakani kuwe tofauti" Fikiri tena nilichosema kabla hujarudi hapa kuharisha tena.[/QUOTE

Ni Bahati yako sijui kutukana maana ningekutukana hadi Basi. Nnachoweza is to rank you low minded rat.
 
Back
Top Bottom